Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Waweke na withholding tozo/levy ya laini za simu mtu mmoja anahold laini zaidi ya moja. Fedha itakayokusanywa ijengee malambo na majosho ya mifugo nchi nzima. Iwe tozo, tozo, tozo kila mahali na tozo tena. Hadi ccm wote wanuke harufu ya tozo huku mitaani wakipita tunaziba pua zetu kwa kichefuchefu.