Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

AWAMU HII YA 6 imeona kitu....

AWAMU HII YA 6 inatambua vyema MALALAMIKO YA BAADHI YA WATANZANIA kuhusu TOZO mbalimbali......

Ila......

IMEONA KITU.....

Ndani ya mwezi tu baada ya makusanyo ya zile BILIONI 63....zikapelekwa kujengewa vituo vya afya zaidi ya 200....

HILI HALIJAWAHI KUTOKEA.....

Ni suala la muda tu WATANZANIA TUTAMUELEWA VYEMA MH.SSH......

#MwanzoMgumu
#SiempreJMT
#TozoKwaMaendeleoYetu
#SemaUtaifanyiaNiniNchiYakoTulivuNaYenyeAmaniKulikoZoteAfrika
 
LIPA KODI; Jenga nchi
Kodi hailipwi kwa style hii mkuu, hii no kuumizana. Kwani hapo swali madarasa na vituo vya afya vilikuwa havijengwi? Hakuna anayekataa kulipa Kodi lakini this is too much
 
Huyu Mama nilikuwa na namuunga mkono lakini kila leo anazidi kunitoka wakati mwingine namkumbuka JPM japo sijawahi kumpenda lakini kwa sasa naona Marehemu pamoja na mapungufu yake lakini alikuwa afadhali alikuwa anajuwa kucheza na akili za watu anauma akiona upepo unaenda vibaya anaingilia kati na kujitoa na lawama tunamuona mwamba huyu Mama hajielewi.

Ok tusema tunataka kujenga Zahanati na Madarasa kwani wasiseme kiasi kinachotakiwa ni hichi tukikusanya hichi basi inatosha au ndio kimekuwa kichaka cha kupiga pesa maisha kwa maana yakiisha madarasa watasema sasa tunajenga vyoo, baadae nyumba za walimu, baadae barabara sijui baadae upuuzi mwingine hii tozo ni utapeleli na kichaka za kuiba pesa wazi kabisa. Mama jitafakari hakukuwa na haja kujigamba tumelipa mabilioni ya ndege cash malipo ya kwanza Billion 250 sijui kitu sio kipaumbele hapohapo unakuja kusema tumekusanya Billion 68 zimejenga madarasa na zahanati 200 na bado unakusanya. sasa kweli hizo billion 250 mngejenga vingapi?

Na bado kuna malipo awamu ya pili. Unaumiza wananchi na hii kibri yako itakupeleka chini hautapona na hili wala hutakumbukwa na lolote zuri, wamekuingiza katika mtego na umeingia kichwa kichwa maadui zako wa 2025 tumia akili Mama siasa za bongo fitna na wewe wamekupatia sana na kama hujielewi. Donors country
 
Zile Billion 250 malipo ya awali ya ndege wangejenga vituo vingapi? 800, kipi muhimu ndege au zahanati?
 
Zile Billion 250 malipo ya awali ya ndege wangejenga vituo vingapi? 800, kipi muhimu ndege au zahanati?
Mkuu wangu UVIKO itaisha ndugu.....

Hizo ndege zinakwenda KUINUA uchumi wetu BAADA TU ya kufunguliwa kwa anga za kimataifa....

Mkuu hulioni lengo la ROYAL TOUR ?!!!!

Liko kimkakati zaidi sambamba na UNUNUZI WA HIZO NDEGE.....

Ni suala la muda tu tutaelewa.....

Mkuu usisahau SERIKALI hiyohiyo ina mipango mingi mno ya kutekeleza....si sekta ya afya pekee....

#SiempreJMT
#TozoMuhimuKwaMaendeleoYetu
 
Hii nchi ukitaka uonekane Hero, Tengeneza tatizo kisha litatue. Hapo ikishafika siku za ukingoni wataondoa tozo zote ili waonekane wanasikiliza.
 
@Crimea Musiba mwingine wa awamu ya 6 aliyekurithi huyu hapa
 
Ukweli ni Huu...
 
Tulipe kodi..kwa maendeleo ya Taifa letu..

Dada zetu wa Corner bar,Mwananyamala,Uwanja wa Fisi,Sudan,Kigamboni na kwingineko nchini biashara yao iongezwe thamani waanze kulipa kodi..
Mbususu iliyotumika zaidi ya mwaka 1 unaiongezaje thamani ????
 
Natamani kama unafanya jokes tu nitakuelewa ila kama uko serious....mhhh. shirika la ndege lilikufa kabla ya Corona. Kweli tumefikia mwisho wa kuwaza kukusanya kodi tunawatumia watu dhaifu tutauwa kama tuliyouwa korosho taratibu tu.
 
Wanaupiga Mwingi serikali
 
Natamani kama unafanya jokes tu nitakuelewa ila kama uko serious....mhhh. shirika la ndege lilikufa kabla ya Corona. Kweli tumefikia mwisho wa kuwaza kukusanya kodi tunawatumia watu dhaifu tutauwa kama tuliyouwa korosho taratibu tu.
Mkuu usemayo yana MANTIKI...shirika letu la NDEGE limekuwa na changamoto NYINGI MNO NA ZA KUTOSHA TU...

Ila.....

Na kesho jua litaendelea kutoka.....

Serikali ya awamu ya 5 na 6 wameamua KUTAFUTA SULUHU ya KUDUMU ya matatizo ya ATCL....uamuzi wao huo si wa kubezwa mno mkuu.....

Muda UTAONGEA kaka......
 
Bomu linalotengenezwa likianza kulipuka, nchi itakuwa ngumu kutawalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…