Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

Watanzania mmeshafika zaidi ya milioni 60 na wote mnataka huduma za serikali kwa mfano afya, elimu, barabara, ulinzi, n.k. Lazima bajeti ya serikali iwe kubwa na kodi ziongezeke ili kuwapa mahitaji yenu. Kila kitu kina gharama, hakuna cha bure kwa hiyo lazima wananchi mkamuliwe kwa kila njia serikali inaweza kufanya.
 
Kmmmk walai Magufuli alikuwa mwanaume, nchi ilisonga bila kuumizana wala kelele
Nchi ilisonga ila sasa mnaletewa bill. Ni kama mtu aliyeenda hotelini akaagiza chakula akala akashiba akafurahi halafu alivyoletewa bill anashtuka. Miradi yote serikali ilifanya lazima ilipiwe. Hata kama serikali ikikopa hela za kujenga miradi ya maendeleo kuna siku itabidi waanze kulipa madeni. Hakuna cha bure duniani, kila kitu kina gharama.
 
Mkuu usemayo yana MANTIKI...shirika letu la NDEGE limekuwa na changamoto NYINGI MNO NA ZA KUTOSHA TU...

Ila.....

Na kesho jua litaendelea kutoka.....

Serikali ya awamu ya 5 na 6 wameamua KUTAFUTA SULUHU ya KUDUMU ya matatizo ya ATCL....uamuzi wao huo si wa kubezwa mno mkuu.....

Muda UTAONGEA kaka......
Ningewaelewa kama kweli wako serious ilikuwa ni kulifilisi shirika na kujenga shirika jipya kuanza zero kama shirika jipya kuendeshwa kisasa na wafanyakazi wapya hapo ningejuwa wako serious lakini unawapa walewale kosa kubwa. Hili kosa linataka kujirudia katika SGR reli mpya walitakiwa kujenga shirika jipya sio kuwakabidhi TRC waliouwa reli ya kati utegemee waliendeshe na hili watauwa tu. jenga kitu kipya lakini naona hawa TRC kimbelembele kama wameshajikabidhi SGR kosa kubwa sana.
 
Ukishaona mkuu wa nchi fulani anacheza sinema sijui za wanyama sijui utalii takataka gani ujue hamna kitu hapo of all the people Raia Namba Moja akacheze Sinema are we SERIOUS? Haya bana only in Tanzania
 
Nchi ilisonga ila sasa mnaletewa bill. Ni kama mtu aliyeenda hotelini akaagiza chakula akala akashiba akafurahi halafu alivyoletewa bill anashtuka. Miradi yote serikali ilifanya lazima ilipiwe. Hata kama serikali ikikopa hela za kujenga miradi ya maendeleo kuna siku itabidi waanze kulipa madeni. Hakuna cha bure duniani, kila kitu kina gharama.
Kwa hiyo unaenda hotel unatizama Menu bila kuangali bei au? sijakuelewa mantiki yako kuna mtu anaenda hotel hana pesa mfukoni au unaenda unakula kuliko ulichonacho bill ikija kubwa unasema sina nipeni kazi ya kuosha vyombo? ndio maana kuna watu wanaenda kula kwa mama ntilie na mwingine anaenda chief kwa mfano na wengine 5 star sasa usiniambie una pesa ya mama ntilie unaenda chief ikija bill kubwa unaanza kupigia ukoo jamani mchango nilipe huku maana hakuna cha bure. Unakula kutoka na uwezo wako ndio yale yale ya kufanya harusi kubwa kuliko uwezo wako ukitegemea michango ya family ndio unaleta katika serikali. ujinga tu
 
mbona hii ilishaanza siku nyingi ama, nilituma pesa kutoka kwenye simu kwenda bank 85,000 niliambiwa ada ni 5000 na Tozo 2500 jumla 7500. ilishaanza hii
 
Kwa hiyo unaenda hotel unatizama Menu bila kuangali bei au? sijakuelewa mantiki yako kuna mtu anaenda hotel hana pesa mfukoni au unaenda unakula kuliko ulichonacho bill ikija kubwa unasema sina nipeni kazi ya kuosha vyombo? ndio maana kuna watu wanaenda kula kwa mama ntilie na mwingine anaenda chief kwa mfano na wengine 5 star sasa usiniambie una pesa ya mama ntilie unaenda chief ikija bill kubwa unaanza kupigia ukoo jamani mchango nilipe huku maana hakuna cha bure. Unakula kutoka na uwezo wako ndio yale yale ya kufanya harusi kubwa kuliko uwezo wako ukitegemea michango ya family ndio unaleta katika serikali. ujinga tu
Sasa serikali si inafanya kwa niaba ya wananchi au? Miradi ya maendeleo inatumiwa na wananchi. Tena wananchi wanajivunia hiyo miradi maana wanaona nchi imeendelea baada ya miaka 60 ya uhuru. Sasa kwa nini wananchi hawakuuliza hiyo miradi inalipiwa vipi wakati ikijengwa maana hakuna kitu cha bure duniani leo? Mmependa na mliikubali kuletewa maendeleo, sasa ni zamu ya kuilipia. Bill hiyo mmeletewa sasa.
 
Habari wakuu,

Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda kwa Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.

Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbilimbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.

View attachment 1926880
Equity bank wameshaanza kitambo,hiyo tarehe unayosema labda itapanda
 
Sasa serikali si inafanya kwa niaba ya wananchi au? Miradi ya maendeleo inatumiwa na wananchi. Tena wananchi wanajivunia hiyo miradi maana wanaona nchi imeendelea baada ya miaka 60 ya uhuru. Sasa kwa nini wananchi hawakuuliza hiyo miradi inalipiwa vipi wakati ikijengwa maana hakuna kitu cha bure duniani leo? Mmependa na mliikubali kuletewa maendeleo, sasa ni zamu ya kuilipia. Bill hiyo mmeletewa sasa.
Hapa bill inaletwa kabla ya huduma na mbaya zaidi huduma yenyewe hujaiomba......
 
Nchi ilisonga ila sasa mnaletewa bill. Ni kama mtu aliyeenda hotelini akaagiza chakula akala akashiba akafurahi halafu alivyoletewa bill anashtuka. Miradi yote serikali ilifanya lazima ilipiwe. Hata kama serikali ikikopa hela za kujenga miradi ya maendeleo kuna siku itabidi waanze kulipa madeni. Hakuna cha bure duniani, kila kitu kina gharama.
Sawa mzee baba ila kwanini hawakusema na miaka yote madeni yalilipwa na nini mbona hatukuona hizi bill zama za Mkapa, Kikwete wala Magufuli
 
Hakika na alisema mtanikumbuka. Sasa hata mwaka halijaisha tushaanza kumkumbuka.
Tutamkubuka kwa mema aliotutendea kama taifa ameacha alama! Japo vizabi zabina aliwakomesha ila ilikuwa ni kwa manufaa ili nchi itawalike na nidhamu iwepo
 
654321095.jpg
 
Back
Top Bottom