Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa mkuu!Waendelee kuimba tu mama huyooo mamaa [emoji119]
.
Zikisikika shangwe toka kila kona ya nchi kwamba baada ya manyanyaso ya miaka 5 bila kupanda madaraja, sasa madaraja yamepanda, payee imepunguzwa huku wakishangilia sasa wanapumua.
Nashauri kiwango kiongezwe maana ni wakati huu ambapo tumepanda madaraja na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5