Tozo zinaweza kugeuka na kuwa wizi wa dola dhidi ya Wananchi

Tozo zinaweza kugeuka na kuwa wizi wa dola dhidi ya Wananchi

Wewe nimeshakujibu kwamba hakuna kitu inaitwa.wizi wa dola.
Basi bado upo mchanga sana katika Ulimwengu wa waelewa. Utambue kuanzia leo kywa kuna:

Wizi wa dola
Ugaidi wa dola
Uhalifu wa dola

How do governments steal money from citizens besides taxes?

So what are governments actually stealing?

You feel something is wrong when the governments are taxing you but you can’t actually pinpoint what is it that they are actually stealing from you. If it is not money, then what is it?

Short answer: They are stealing your effort and labor.

A little longer version: They are stealing your human existence and your life so that you are miserable till the day you die. The relationship between politicians and citizens is that of a parasite and a host. They suck you dry till you have nothing left in your body. When your business is under loss and you are living in poverty down to your bones, they won’t give any aid to you, they will keep gnawing your bones.

While many groups like those of scientists, writers, inventors, even stage artists, and actors live to make common people happier, the class of politicians exist for no reason, but boasting, exploiting and honeymooning.

Now coming to your actual question:

How do governments steal from citizens besides taxes?

They levy fees, for the things that are free.

They usurp lands of people that have belonged to them for generations.

 
Lazima tulipe ili maendeleo yapatikane, wenzetu walio endelea na tunaopenda kuwatolea mifano kwa namna walivyo endelea nao pia walianzia huku na walipitia huku na bado wanaendelea kulipa Kodi,Sasa wewe unataka Nani akuletee maendeleo, unataka Nani abebe mzigo wetu watanzania, wajibu wetu unataka tumtwishe Nani, unataka kila siku tukakope kwa kila kitu, lazima tuanze kujifunza kujitegemea na kutembea kwa miguu yetu wenyewe
Nyambavuuu!! Kwaiyo toka uhuru hizi tozo ndizo zituletee maaedeleo? Usiongee kama umekatika kichwa
 
Lazima tulipe ili maendeleo yapatikane, wenzetu walio endelea na tunaopenda kuwatolea mifano kwa namna walivyo endelea nao pia walianzia huku na walipitia huku na bado wanaendelea kulipa Kodi,Sasa wewe unataka Nani akuletee maendeleo, unataka Nani abebe mzigo wetu watanzania, wajibu wetu unataka tumtwishe Nani, unataka kila siku tukakope kwa kila kitu, lazima tuanze kujifunza kujitegemea na kutembea kwa miguu yetu wenyewe
Ni fikra potofu kudhani kuwa kodi utitiri au tozo ndiyo zitaleta maendeleo. Tozo na kodi utitiri hudumaza maendeleo ya watu na hivyo mwishowe huathiri mapato ya Serikali.

Ili uwe na mapato ya Serikali sustainable na yanayokua ni lazima walipa kodi waongezeke na vyanzo vyao vya mapato viongezeke na kukua. Kodi utitiri huua uwekezaji, huzuia uwekezaji mpya, na hudumaza ukuaji wa mitaji, na hivyo hudumaza mapato ya Serikali.

Wakulima wa chai wanajua kuwa japo unahitaji mavuno mengi ili upate fedha nyingi, lakini ni lazima uwe na nidhamu ya kuacha baadhi ya majani ili mmea uendelee kukua na wewe uendelee kupata majani ya kuchuma.
 
Njia nazo Ni Hali maana zilipitia michakato ya kisheria pia, Tuwe wazalendo tuijenge nchi yetu
Siyo kila kinachopitia mchakato wa kisheria ni sahihi. Yapo mataifa, hata kuihoji Serikali ni kosa, na kuna sheria inayozui. Ukikosea ukaihoji Serikali utafungwa au hata kupotezwa. Ukifungwa kwa kosa la kuihoji Serikali, kwa mujibu wa sheria zao ambazo zimepitia michakato ya kisheria, ni halali, lakini ukweli ni kuwa SIYO SAHIHI.

Tuzo hizi ni halali kwa sababu tu kikundi cha watawala walipitosha kwenye michakato waliyoiweka, lakini SIYO SAHIHI. Mbaya zaidi ni kwamba wanaoenda kukatwa hizo tozo hawakushirikishwa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220818-190357.png
    Screenshot_20220818-190357.png
    93.1 KB · Views: 2
Huelewei dhana ya kodi na inapaswa ilipwe kutokana na vigezo gani. Kutoza kodi mtu anayetoa pesa zake mahali amezihifadhi ili azitumie ni kituko na kukosa uewelewa wa msingi kabisa wa uchumi.
Kodi ya miamala ni ya haki kwa wote uwe Tajiri au uwe maskini na infact tajiri ndio analipa zaidi maana ana transact zaidi kuliko maskini..

Kanuni ya Kodi ni fairness
 
Mfanyakazi ambaye mshahara wake umekatwa kodi kabla ya kuwekwa kwenye akaunti unapomkata kodi anapotoa pesa zake ili akanunue mboga au vifaa vya shule vya watoto wake anakuwa amezalisha nini??
Ndio lazima kila mtu alipe Kodi kulingana na anachozalisha.
 
Migodi, Mbuga wameacha kukusanya mapato mwiguuu kichwa chake kinawaza tozo tu,
 
Wengi unaobishana nao hapa walikuwa mataga wenye nyodo na kebehi kama za kwako. Musiba alifikia kusema hadi tuanzishe World Bank ya Africa.
You're disgrace to our country.
Kazi ya Serikali sio kubembeleza watu wasioelewa..
 
Huyo sunk cost fallacy hoja zake zimekaa kama Mwigulu kabisa
Unajua wewe The Sunk Cost Fallacy unahitaji kuelimishwa tu ili kukamua ujinga wako huo...

Unapaswa kuelewa taxation cycle inavyokwenda. Serikali haiwezi tu kunyang'anya watu fedha zao eti kwa sababu imewaona wana fedha. This is stupidity of high quality...!

1. MOSI; Fedha inapokuwa benki, maana yake imezalishwa huko na serikali imeshachukua kila chake kwa mujibu wa sheria..

E.g mshahara wa mtu. Si utakuwa umekatiwa PAYE?. Au mauzo ya mfanyabiashara fulani. Je anakuwa hajakatwa kodi mbalimbali..? Sasa kwanini serikali izifuate pesa hizo hizo benki ili kutaka kodi tena?? Ndugu The Sunk Cost Fallacy unaweza kuwa honest ingalau kwa dakika moja ili ujibu swali hili kwa usahihi...?

2. MBILI; Mimi ninapopeleka pesa benki, ni kwa ajili kutunziwa na ofcoz at first place nakuwa najua kuwa, nitakwenda kulipa gharama ya kutunziwa. Kwa hiyo ni haki nilipe gharama hiyo. Hii kwa ajili ya benki. Maana yake benki inaingiza kipato...

3. TATU; Kumbuka pia benki naye ni tax payer. Analipa kodi na tozo kutoka kwenye mapato ya faida anayokusanya kutoka kwa wateja....

4 NNE; Serikali haipaswi kuingia benki kwa watu walewale wa mlango wa nyuma kudai tena kodi toka kwa pesa ileile ambayo imekwisha kulipiwa kodi lakini mtu ameipeleka benki tu ili kutunza...

Serikali inatakiwa kuitoza benki hiyo kodi na si wateja tena...!!
 
Kodi au tozo haziwahi kuwa wizi ndio maana nilikuuliza kama ni wizi hizi pesa zinaenda kutumika wapi? Hukujibu..pesa inatumika kuboresha huduma mbalimbali kama hizi [emoji116]
Toa ujinga hapa.washindwe kufanya hayo maendeleo kwa rasilimali lukuki zilizobarikiwa nchi hii ndo wayafanye kwa tozo.tatizo la hii nchi sio uhaba wa pesa bali uhaba wa akili.tungekua na uhaba wa pesa kiasi chakufikia kuwakwamua wananchi tungeanza kuona mabadiliko ya ubanaji wa matumizi kwenye shughuli za serikali yenyewe na viongozi wake.Ila hilo halipo ila wananchi ndio tunaokamuliwa kwakisingizio cha maendeleo.
 
mhh Kazi ipo kweli kweli wanakuambia mama
anaupiga mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yupokazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
matunda ya royo tua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hili nalo mkalitizame.[emoji41]
 
Huyu Ngu...chiro Kama hujammshtukia ni moja kati ya watu wanaoramba asali awamu hiii. So unajichosha tu kubishana naye. Siku mrija wake ukikatika na yeye atakuja ungana nawe sema kwa ID tofauti na hii
Alafu walivyo wajinga wakiwa wanalamba asali wanajionaga wenyewe ndo wazalendo sana kupita wengine kumbe viande tu.
 
Kwa hiyo Chadomo mkiongoza Nchi hautachukua loan? [emoji16][emoji16].

Kuna Nchi haichukui loan Dunia hii?

Nakupa mfano mdogo,Tzn ina jumla ya km za barabara za TanRoads na Tarura zaidi ya 160,000 Kati ya hizo lami ni km 12,000 tuu Sasa tukisema tuende kwa Kasi hii ya kujenga km 600 za lami kwa mwaka sasa unategemea hizo barabara zitafikiwa lini?

Sasa iko hivyo across sectors na mahitaji yanazidi kuongezeka kwa sababu ya ongezeko la watu so loan zinasaidia kupunguza makali ya Kodi in short term na pia kutatua shida za dharura.
Chadoma wametoka wapi hapo kwenye swali la mdau.acha kuweweseka wewe.
 
Toa ujinga hapa.washindwe kufanya hayo maendeleo kwa rasilimali lukuki zilizobarikiwa nchi hii ndo wayafanye kwa tozo.tatizo la hii nchi sio uhaba wa pesa bali uhaba wa akili.tungekua na uhaba wa pesa kiasi chakufikia kuwakwamua wananchi tungeanza kuona mabadiliko ya ubanaji wa matumizi kwenye shughuli za serikali yenyewe na viongozi wake.Ila hilo halipo ila wananchi ndio tunaokamuliwa kwakisingizio cha maendeleo.
Wewe ulipo hapo umefanya nini cha maana zaidi ya kulaumu.
 
Back
Top Bottom