TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

Screenshot_20250111-113009_1.jpg
jinsi wananchi wanavyouona msimamo wa kundi lao😁🚮
 
UTO anapita kwenye hili kundi akiweza kupata sare ya aina yoyote kwenye mechi ya kesho.
Kupata ushindi wa 2-0, 3-1 ... katika mchezo wa mwisho kwa Mkapa uwezo huo upo.
Calculator bila mtumiaji kuwa vizuri inaweza kukupa majibu siyooo. Uto akipata sare kesho halafu mechi ya mwisho akashinda 2-0 au 3-1 hawezi kuvuka. Sare yoyote kesho inabidi mechi ya mwisho ashinde kwa ushindi wa tofauti ya goli 3 na zaidi.
 
Yanga ina ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya. Nani wa kuizuia? Ni mwendo wa kugawa kipigo kwa kwenda mbele.

Tumeshamaliza game na al hilal ibenge hana cha kupoteza so atacheza kwa ku relax atachezesha wachezaji ambao huwa hawapati nafasi. Hapo tunamchapa 5. Unasikia we mkia? Ibenge anakula tano MC Pilipili naye atakuja kula 5. Game over
 
Tunzeni nguvu ya kupambania familia zenu...
 
Yanga ina ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya. Nani wa kuizuia? Ni mwendo wa kugawa kipigo kwa kwenda mbele.

Tumeshamaliza game na al hilal ibenge hana cha kupoteza so atacheza kwa ku relax atachezesha wachezaji ambao huwa hawapati nafasi. Hapo tunamchapa 5. Unasikia we mkia? Ibenge anakula tano MC Pilipili naye atakuja kula 5. Game over
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250111-224743_WhatsApp.jpg
    272.4 KB · Views: 2
Siku group lilivyo pangwa walishangilia wakiamini wamepata vibonde.

hadi sasa wanatumia kikokotoo.
 
Kitu kilichobaki ni yanga kumuomba Mungu ingawa Mungu nae inahitajika atulize kichwa sana
 
Ukishaona timu kwenye group lake inaanza kuwa na hesabu nyingi kama wahasibu na kuomba sijui nyingine ifungwe au ishinde au itoe droo ujue tayari imeshapoteza matumaini
Hv nilikuwa wapi wakati mnakoment huu upuuzi
 
Back
Top Bottom