Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupotea kwako kuliwafanya UTO wapumue kimtindo ujue.....Nilikuwa Retreat.
Calculator bila mtumiaji kuwa vizuri inaweza kukupa majibu siyooo. Uto akipata sare kesho halafu mechi ya mwisho akashinda 2-0 au 3-1 hawezi kuvuka. Sare yoyote kesho inabidi mechi ya mwisho ashinde kwa ushindi wa tofauti ya goli 3 na zaidi.UTO anapita kwenye hili kundi akiweza kupata sare ya aina yoyote kwenye mechi ya kesho.
Kupata ushindi wa 2-0, 3-1 ... katika mchezo wa mwisho kwa Mkapa uwezo huo upo.
Ni mbili tu, tunamalizia calculations 🐸Wiki mbili??
Yanga ina ari mpya,nguvu mpya,kasi mpya. Nani wa kuizuia? Ni mwendo wa kugawa kipigo kwa kwenda mbele.
Tumeshamaliza game na al hilal ibenge hana cha kupoteza so atacheza kwa ku relax atachezesha wachezaji ambao huwa hawapati nafasi. Hapo tunamchapa 5. Unasikia we mkia? Ibenge anakula tano MC Pilipili naye atakuja kula 5. Game over
Tukikosa betri za casio basi wiki hii hii leo leo tunajua hatma na hitma ya mwenzakeMazembe atulie ni wiki mbili tu zimebaki za kumjua mwenzake.
Yeye hatma yake imewahi kujulikana kuna mmoja bado.
Inategemea ameandika akiwa wapi na anakunywa nini!Wiki mbili??
Hv nilikuwa wapi wakati mnakoment huu upuuziUkishaona timu kwenye group lake inaanza kuwa na hesabu nyingi kama wahasibu na kuomba sijui nyingine ifungwe au ishinde au itoe droo ujue tayari imeshapoteza matumaini
Kwani vyura wamefuzu wewe mpuuzi?Hv nilikuwa wapi wakati mnakoment huu upuuzi
Wameshafuzu ww fala. Screenshot hii comment kibibi kizee wwKwani vyura wamefuzu wewe mpuuzi?
Wameshafuzu ww fala. Screenshot hii comment kibibi kizee ww
Tulia mtoto mdogo .......yako nepi kumbafMwehu mkubwa wewe lini vyura wamefuzu?
Mjinga unaishi kwa ndotoTulia mtoto mdogo .......yako nepi kumbaf