Mkuu, saa tisa ya Kongo huku ni saa kumi jioni...sisi tupo mbele kwa longitude kadhaaYanga tuna ujinga mwingi sana
Hukutoa taarifa kama hio saa tisa ni kwa saa za Congo ama Tanzania.Sawa je mechi inachezwa physical kwenye jua la saa tisa ama jua la saa kumi ?
Hukutoa taarifa kama hio saa tisa ni kwa saa za Congo ama Tanzania.
Kama mpira kiwango ni kidogo ni kidogo tu, na kama umezidiwa umezidiwa tu.
Kucheza juani si suluhisho katika maendeleo ya mpira wa miguu.
Weka picha full mkuu, sio unaweka kama attachment unatuma kwenye email, wengine wavivu ku click.Nimeweka screen shot from official page ya tp mazembe.
Page ya tp mazembe imeandika match start 15:00 lubumbashi time
Usiwaige Mazembe
Pengine kabla ya kulaumu ungefanya utafiti, inawezekana Mazembe kucheza katika muda huo ni jadi yao na wala sio kama wameitumia kama mbinu ya kumdhoofisha mpinzani..
Hujasoma nikichoandikaKwenye page yao wao wameandika saa tisa kwa saa za uwanjani mechi inaanza lubumbashi
Wewe unalazimisha kuweka saa za nchi zingine.
Muda ninao ongelea wa uwanjani nchi ambayo mechi inachezwa
Mimi y
We mjomba mgumu kuelewa..Kwenye page yao wao wameandika saa tisa kwa saa za uwanjani mechi inaanza lubumbashi
Wewe unalazimisha kuweka saa za nchi zingine.
Muda ninao ongelea wa uwanjani nchi ambayo mechi inachezwa
Mimi y
Baelezee baambie baeleweUsiwaige Mazembe
Pengine kabla ya kulaumu ungefanya utafiti, inawezekana Mazembe kucheza katika muda huo ni jadi yao na wala sio kama wameitumia kama mbinu ya kumdhoofisha mpinzani.
Angalia hii ndio time zone yao pale Lubumbashi yani tumewazidi lisaa limoja.
View attachment 2914223
Sasa angalia na muda wa mechi wanaocheza kwenye ligi yao ya ndani.
Utaona karibia mechi zote wamecheza muda huohuo wa saa 9 (kwa masaa ya Lubumbashi)
View attachment 2914224
Isipokuwa game hii ndio imepangwa muda wa saa 8 na nusu.
View attachment 2914225
Sasa kwa takwimu hizo sioni namna yoyote ambayo unaweza kusema Tp Mazembe ametumia ujanja kucheza mechi katika muda huo ili kumdhoofisha mpinzani wakati tunaona ndio muda ambao siku zote amekua akicheza kwenye ligi yao.
Kwahiyo Misri hamna jua?Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi
Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.
Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.
View attachment 2914222
Sizani ndo nini?Sizani kama Misri mechi zinaanza saa tisa
Hakuna visingizio ambavyo vitaiokoa Yanga kuishia hapa ilipo.Yanga tuna ujinga mwingi sana
Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake
Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua
Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.
CAF hawapangi muda wa home games
Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi
Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.
Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.
View attachment 2914222
Hakuna visingizio ambavyo vitaiokoa Yanga kuishia hapa ilipo.
Ili Yanga muingie robo fainali mnatakiwa kushinda goli kuanzia 4 kitu ambacho hamuwezi labda mpate bahati ya mtende.
Kushinda tuu mechi ya Leo hakuwapi uhakika wa Kusonga Mbele maana mechi ya Mwisho na Al Ahly sidhani kama mtatoa hata sare.
Epl mechi huwa wanaanza asubuhi ya saa tano kama ni weekend mpaka saa kumi na moja jioniHukutoa taarifa kama hio saa tisa ni kwa saa za Congo ama Tanzania.
Kama mpira kiwango ni kidogo ni kidogo tu, na kama umezidiwa umezidiwa tu.
Kucheza juani si suluhisho katika maendeleo ya mpira wa miguu, nchi nyingi hata ulaya wanacheza usiku.
Hapa nafkiri kilichofanya mpaka mechi ikubaliwe ni hali ya hewa ya mji husika, kwa maana Lubumbashi ina elevation ya 1200 mita kutoka usawa wa bahari.Sawa je mechi inachezwa physical kwenye jua la saa tisa ama jua la saa kumi ?