TP Mazembe vs Pyramids mechi inaanza saa tisa Lubumbashi, Mamelodi mechi zake na Waarabu ni saa tisa. Kwanini Yanga iwe saa 1?

Hiyo picha inaonyesha hali joto la jiji la Cairo kwa mwaka mzima.
kwa kuangalia tu,mbona inalingana na halijoto la mikoa kama Njombe,Mbeya,Songwe,Iringa,Arusha na Kilimanjaro.
Sasa tusijidai wageni sana kwa hali hiyo ya hewa.
Na Yanga kupanga mechi mda huo,imelenga kukusanya mapato mengi ya uwanjani na watazamaji wa kwenye Runinga.
 
Attachments

  • images-29.jpeg
    images-29.jpeg
    16.5 KB · Views: 3
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
akina zuwena na amber rutty fc tulieni, wenye haki ya kuonesha haya mashindano lazima watofautishe muda wa mechi we mwiko nyuma...mbona wydad tulikanda kawaida kabsa majira ya saa 1??
 
Mlimkanda waydad saa moja mwaka gani ?
 
Hii timu tunaaminishwa ni kubwa malalamiko ya nini? tandazeni boli. Hii sio NBC.
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Haya mambo kudanganyana tu, hilo jua kwamba linampiga mwarabu halafu halimhusu Yanga. Au kwa sababu ni jua la Dar litamuonea huruma. Tuache siasa tuwekeze kwenye mpira, timu zetu bado zinabahatisha kwa timu za Kaskazini huko sababu tuna uwekezaji mdogo. Watu huko wana michezaji ya bilioni sijui kumi, wakati sisi hiyo ni thamani ya timu nzima.
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222

Mkuu hata iwejeee Lazima Yangu tumfunge Mwarabu bao 3!
Hii ndio fainali kwetu Yanga Kaka!
Una Hofu gani????
Kipigo kipo Pale pale kwa Waarabu!
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Kama
Kawa

Wabongo ni kulalama tuuuuuu
 
Je wachezaji wa sasa wa yanga wamezoea joto kali ? Angalia takwimu .
Kabla uongozi haujaomba mechi muda huo lazima watakuwa wameshauriana na benchi la ufundi.
Ingawa mazembe alipigwa na yanga pale kwao Lubumbashi na jua Kali pengine mfumo wa nabi ulikubali jua Kali wakati mfumo wa master gamondi hauhitaji jua Kali .
 
Hiyo picha inaonyesha hali joto la jiji la Cairo kwa mwaka mzima.
kwa kuangalia tu,mbona inalingana na halijoto la mikoa kama Njombe,Mbeya,Songwe,Iringa,Arusha na Kilimanjaro.
Sasa tusijidai wageni sana kwa hali hiyo ya hewa.
Na Yanga kupanga mechi mda huo,imelenga kukusanya mapato mengi ya uwanjani na watazamaji wa kwenye Runinga.
Bora kukusanya ela kuliko kucheza na mpinzani wako katika mazingira sio rafiki kwake ili upate matokeo?
 
Mkuu but hilo baridi ambalo watu hulalamika lipo katika hiyo miji ya kiarabu mbona linaendana na hali joto la miji mingi hapa Tanzanania.
Angalia hiyo halafu pitia hali joto za miji ya Moshi,Arusha,Ngara,Njombe,Babati,Dodoma,Mbeya mjini,Songwe na Songwe uone kama utofauti...labda kama wewe ni wa Dar na haujawahi kutoka nje ya Dar.
Ila mi nimeishi Mbeya na watu wanacheza mpira kwenye joto la 14⁰C.
Nafkiri hapa hatuna hoja yenye mashiko.
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

Usiku ndio muda mzuri wa kuyafungulia yale majamaa aliyoyalalamikia Mayele
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Yanga timu kubwa uhakika tunao,hatuhitaji kufanya finish,zaidi zaidi tunaijenga timu,sii kwa njia ya mkato ila kwa jasho na damu na kupitia uzoefu halisi🤓
 
Mkuu but hilo baridi ambalo watu hulalamika lipo katika hiyo miji ya kiarabu mbona linaendana na hali joto la miji mingi hapa Tanzanania.
Angalia hiyo halafu pitia hali joto za miji ya Moshi,Arusha,Ngara,Njombe,Babati,Dodoma,Mbeya mjini,Songwe na Songwe uone kama utofauti...labda kama wewe ni wa Dar na haujawahi kutoka nje ya Dar.
Ila mi nimeishi Mbeya na watu wanacheza mpira kwenye joto la 14⁰C.
Nafkiri hapa hatuna hoja yenye mashiko.
Japo kama amewahi fika Muscat atajua hoja hiyo na mwarabu havina nafasi😎
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Hivi mkuu unahisi waarabu wanaoishi Jangwani hawajazoea jua? Huko kwao washazoea Nyuzi 40 kawaida tu, humidity inafika mpaka 60% na zaidi.
 
Yanga tuna ujinga mwingi sana

Hatujui kama mpira wa africa una fitna zake

Timu zote za weusi zilizowai ku win caf champions league zinajua weakness ya warabu ni jua

Yanga home games zetu tunawaweka waarabu usiku kwenye taa.

CAF hawapangi muda wa home games

Ndiyo maana mazembe ameweka mechi yake na pyramids kesho ianze saa tisa jua kali lubumbashi. Cheki post hapo utaona 15:00 time lubumbashi

Mamelodi kila siku tunaona jinsi anavyocheza na waydad na Al ahly kwenye jua la saa tisa south africa.

Je, yanga tunajua mpira wa Afrika kuliko Mamelodi na mazembe.

View attachment 2914222
Jamani si tulikubaliana tupake breach wote waraabu washindwe kumtambua paccome!

Sasa mbona gubu tena...
Dawa ya kumfunga mwarabu ni breach tu..
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Majini hayatembei mchana.Saa moja ndio yanaingia shift. Yaani wewe unajua kuliko viongozi wako?Hivi umepaka bleach na kuweka kope na kucha bandia?Unangoja nini na ni masharti ya majini waone pisi kali nyingi uwanjani.
 
Back
Top Bottom