TP Mazembe vs Pyramids mechi inaanza saa tisa Lubumbashi, Mamelodi mechi zake na Waarabu ni saa tisa. Kwanini Yanga iwe saa 1?

Sasa unaongelea Mamelodi iliyopo Pretoria katika ambayo ipo zaidi latitude 25⁰ kusini. Yani ndiyo nchi yenye baridi zaidi Afrika kama haukuwa na taarifa.

Tena hilo jiji la Pretoria lina altitude ya 1300 mita, unashangaa mechi kuchezeka mchana.wao Kuna kipindi usiku joto huwa hadi -5⁰C.
Nenda Mbeya uone watu wanavyovaa sweta saa 7 mchana na kuota jua, na hapo joto ni 16⁰C.
Tuache kulalama, tuwekeze kwenye mpira.
 
caf ndio wapangaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…