Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kubadilishana uzoefu“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo mbalimbali kwenye Mfumo wetu wa Mabadiliko ya Uendeshaji" Simon Patrick, Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga SC.
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Je Kuna ukweli kuwa Yanga ndio workshop ya soka hapa Afrika???
Hahahahaha kupanga na kuchagua..unapoona mkubwa anakuja sehemu kujifunza kitu , heshima mfundishaji..Wakati wengine wakitrend na Whatsapp channel
Mkubwa Yanga ktk suala la wanachama kusajili kigital , wamepiga hatua kubwa sana tena sanaWamevurugwa
Hata kuuza na kununua wachezaji,(biashara)Sahihi
Ulifaa kuolewa na mieWengine tulishasema ni kiasi cha muda tu Yanga kufika katika kilele cha soka Afrika na kila mmoja ataliimba jina letu.
sumbai njoo usome maneno kuntu kutoka kwa labaniKweli penye miti mingi hakuna wajenzi......
Simba management yao mbovu .....lkn hawataki kuomba kufundishwa na Yanga
Tp mazembe kutoka mbali .....ndio wameiona hii dhahabi adimu kuja kufundishwa na Yanga [emoji23][emoji23]
YANGA Ina watuJe, ni management ndiyo siri pekee ya mafanikio ya timu?
Je, ukiondoa pesa ya GSM kwenye equation ya yanga, yanga itabaki kuwa yanga hii hii?
Kwa maana nyingine bila GSM na pesa ya gsm yanga ni kama tabora united tu.
[emoji23][emoji23]Mgema akisifiwa tembo hutilia maji.
Ngoma ikilia sana mwishowe lele.
Eneweiz mwanzo mzuri viongozi wasibweteke sasa na hizi sifa za kuimbwa, na kuanza siasa na kuirudisha timu matopeni kwenye vibakuli tena.
#Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Hahahahaha,nakukumbusha kitu..Google tajiri alisema timu yetu pendwa itaenda dallas marekani unakumbuka ?Wengine et wanaiba airport
Hahahahaha..si huwa munasema Nabii hakubaaliki nyumbani?Kweli penye miti mingi hakuna wajenzi......
Simba management yao mbovu .....lkn hawataki kuomba kufundishwa na Yanga
Tp mazembe kutoka mbali .....ndio wameiona hii dhahabi adimu kuja kufundishwa na Yanga [emoji23][emoji23]
Lkn wamekuja Dar Young Africans kujifunza kitu...hushtuki tu..?Hatari sana...wako mbali kimafanikio