TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

kinacholigharimu taifa hili ni kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalam.
 
Magufulis worst enemy sio upinzani bali his most inner most circle.

No, our president is his own worst enemy. Sasa kama wewe unashauriwa halafu ubongo wako hata haujui upi ni ushauri bora, au kwa "ego" yako tu hutaki kupokea ushauri wa maana nani ni adui yako? Adui yako ni wewe.
 
Mkuu haya mambo n very complex kwa akili ndogo.....ila taratibu wataelewa tu...!
 

MIE NASHAURI ARUHUSU WATRU KUPITISHA BILA KULIPA USHURU ILI BANDARI IWE ACTIVE
 
Kazi ya wabunge Ni kuishauri serikali kazi ya Waziri Ni kumshauri raisi kila ngazi ina ukomo wake ila kwa mtukufu sijui kama atakibali ingawa naamini hakuna baunsa WA njaa
Kwani raisi ye ana njaa?wewe na mimi ndo tuna njaa
 
Anafanya mambo kienyeji mno...
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
kwa mujibu wa hiyo video, "..impala waliingiza tani 40,000 kwa mwezi kipindi kama hiki mwaka jana na wameingiza tani 1,000 tu kwa mwezi kipindi hiki mwaka huu"
 
TUTAJUWA TU HIZO HESABU ZA TRILION NI ZA KWENYE TV AU ZIPO HAZINA. TIME WILL TELL, MAANA BUNDI ANAANZA KUAMSHWA TARATIBU TU.
 
kwa mujibu wa hiyo video, "..impala waliingiza tani 40,000 kwa mwezi kipindi kama hiki mwaka jana na wameingiza tani 1,000 tu kwa mwezi kipindi hiki mwaka huu"
Nimeelewa mkuu
 
Kumbe Saxa Inahtajika Mapinduz Kiongozi Mkuu Wa Kaya , Ndo Maana Ameshndwa Kuajili Vijana Kila Siku Kalenda Tu Isiokuwa Na Mwisho Wa Mwaka. Kumbe Tatizo Analijua Ni Serikali Yake Kuwa Na MAPATO HEWA na BAJETI HEWA. Tanzania Wangu Bado Nakuhitaji Na Kukupenda Wasiojua Matunzo Yako Waishaingia Kwako.
 
Nchi imefikisha kiwango cha juu cha wanafiki...wasiotaka kujinafikisha wanaonekana maadui....
 
hapa nakumbuka enzi za sukar,,
sijui watasema mizigo imefichwa!
 
Unaweza kumwamini mbunge yeyote lakini siyo Dalai Kafumu wala Mary Mwanjelwa, hawa ni mawakala wa wapiga dili wanajulikana. Eng. Kakoko hajasema kuna tatizo la mizigo bali amewashauri TRA waachane na njia za zamani za kutathmini thamani za magari ambazo zinashawishi rushwa. Alipendekeza TRA watumie njia ambazo ni transparent.
 
Ushauri wangu kwa Rais na serikali yake. Aache mhimili wa bunge ufanye kazi yake. Haya yote yasingetokea. Wapinzani wameminywa kutoa michango yao kwenye budget. Wabunge wa CCM wakabanwa wasichangie kwa utashi wakitishiwa kunyang'nywa kadi.. Unaendeshaje inchi kijanja kijanja huku ulituaminisha kwamba wewe ni muwazi na mkweli na bado akiendelea ivo mabaya zaid yanakuja
 
mi ninaamini mheshimiwa sana akituliza munkari anaweza kufanya vizur kuzid watangulizi wake wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…