TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Wewe huna Elimu ya juu na hayo unayongea ni pumba tupu.wizara zinalalamika mizigo na kodi kuwa kubwa wewe unakuja kubwabwaja ujinga hapa.



Swissme
 
Institution ya ufisadi imedondoka...imebaki ile ya mtanzania halisi ambayo kwa viwango vya kimataifa ni masikini wa cash tajiri wa resources. Kwaambao hamfahamu tupo kwenye ku attach cash kwenye natural values na tunafanya hivyo through financial inclusion kwenye rural setting...tukimaliza nyote mtacheka...mpanzi huenda shambani akilia lakini majira ya mavuno huja kwa kicheko na kikapu chake....Tanzania njema is a must project!
 
Hahaha ule ulikuwa uhuni uliokuwa ukifanywa na baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu !Unscrupulous businessmen.! Angalia hivi unajua kuna tani zaidi ya 1,000 za sukari zimetelekezwa pale bandarini hazina mwenyewe. TRA na TPA wametoa tangazo la kupiga mnada. Very soon ?? Walidanganya kuwa ni sukari malighafi ya viwanda kumbe ni ya matumizi ya madukani. Hii ndio wafanyabiashara. Tunapotetea tuwe na hoja wajameni.
Mimi sitaki uniambie kuna sukari imekamatwa wakati huna ushahidi. Maneno kama yako tuliambiwa sana wakati ule; makonda alishadai kukamata sukari kinondoni ambayo leo ukimuuliza anakutumia polisi. wew leta vidhibiti tuone ukweli upo wapi. Kumbuka watu washaanza kupoteza imani na serikali yao
 
Tunataka wingi was mizigo au makusanyo zaidi?
Enzi hii ya Magufuli wakwepa kodi lazima wayeyuke. Watabaki wachache wafanyabiashara halisi. Yuko wapi Home Shopping Centre ambaye alikuwa ndiyo bandari na TRA mwenyewe?
Sishangai kusikia mizigo ya Congo kupungua. Huenda ilikuwa chaka la kukwepa kodi tu lakini mizigo iliishia Kariakoo! !
Mwezi July pekee kwa mara ya kwanza, Vodacom wamelipa excise duty ya 1.7 billion badala ya million 350! Tigo nao zaidi ya 1.2 billion badala ya million 250!
Kwa mwaka mzima Vodacom na Tigo watalipa kiasi gani? Kwa trend hiyo, haitapungua billion 45. Hayo ndiyo mapato yote ya SMZ kwa Mwezi mzima.
 
Jamani mapato ghafi ya TRA yameongezeka kutokana na kwamba wale wanaopata MSAMAHA wa kodi (exempted persons ) wanatakiwa kwanza walipe VAT then waombe refund tofauti na hapo awali.

Hii ndio sababu kubwa ya rise in gross but net revenue is on the lower side. Sababu hii naona either hatuiongelei au hatuijui
 
Kidogo kidogo tunaanza kufahamiana. Ni hivi majuzi tu watu wa bandari walieleza ukweli kwamba mizigo imepungua bandarini na kusababisha wazifunge bandari kavu. Lakini siku mbili baadaye walilazimishwa kukanusha. Na wao bila kujitambua wakaja kukanusha kupitia mkurugenzi wa bandari. Leo, taarifa ile ile (ya kupungua mizigo bandarini) imeletwa/imesemwa na Kamati ya kudumu ya Bunge na mmeshindwa kuwashurutisha wakanushe na hata wenyewe hamna namna ya kukanusha, badala yake mmeamua kukubaliana na ukweli kwamba mizigo imepungua lakini mmekuja na ngonjera kwamba makontena yaliyopungua ni yale ya Wanyarwanda na Wakongoman ambayo hayana mchango wowote katika kuongeza pato la taifa. Kesho mtasema mengine na hatimaye mtakiri kwamba kupungua kwa mizigo bandarini kumesababisha hali tete ya kiuchumi hapa nchini. Nyie endeleeni kujidanganya wakati hali inazidi kuwa mbaya kila uchao.
 
No pain no gain.
Ukawa ni kama wanatumiwa vile.
Walichokikataa miaka 10 iliyopita Leo wanakililia
 
Tunataka wingi was mizigo au makusanyo zaidi?
Enzi hii ya Magufuli wakwepa kodi lazima wayeyuke. Watabaki wachache wafanyabiashara halisi. Yuko wapi Home Shopping Centre ambaye alikuwa ndiyo bandari na TRA mwenyewe?
Sishangai kusikia mizigo ya Congo kupungua. Huenda ilikuwa chaka la kukwepa kodi tu lakini mizigo iliishia Kariakoo! !
Mwezi July pekee kwa mara ya kwanza, Vodacom wamelipa excise duty ya 1.7 billion badala ya million 350! Tigo nao zaidi ya 1.2 billion badala ya million 250!
Kwa mwaka mzima Vodacom na Tigo watalipa kiasi gani? Kwa trend hiyo, haitapungua billion 45. Hayo ndiyo mapato yote ya SMZ kwa Mwezi mzima.
mkuu na wewe umeongezewa tshs ngapi na tigo na voda kwa kutuma na kupokea pesa ukipata jibu utajua kwa nini makusanyo kutoka makampuni ya cm yameongezeka
 
Nakuona jamaa wa KAKUCHA. Hahahahaha! Umekuja na habari zako za kufikirika kwenye maswala hata huyajui.
 
Back
Top Bottom