Freedom of speechWewe huna Elimu ya juu na hayo unayongea ni pumba tupu.wizara zinalalamika mizigo na kodi kuwa kubwa wewe unakuja kubwabwaja ujinga hapa.
Swissme
Mimi sitaki uniambie kuna sukari imekamatwa wakati huna ushahidi. Maneno kama yako tuliambiwa sana wakati ule; makonda alishadai kukamata sukari kinondoni ambayo leo ukimuuliza anakutumia polisi. wew leta vidhibiti tuone ukweli upo wapi. Kumbuka watu washaanza kupoteza imani na serikali yaoHahaha ule ulikuwa uhuni uliokuwa ukifanywa na baadhi ya wafanyabiashara wasio waaminifu !Unscrupulous businessmen.! Angalia hivi unajua kuna tani zaidi ya 1,000 za sukari zimetelekezwa pale bandarini hazina mwenyewe. TRA na TPA wametoa tangazo la kupiga mnada. Very soon ?? Walidanganya kuwa ni sukari malighafi ya viwanda kumbe ni ya matumizi ya madukani. Hii ndio wafanyabiashara. Tunapotetea tuwe na hoja wajameni.
Cheo changu ni Sho-kushugiUna kasi ya mwndo kasi humu JF?
Unacheo gani hapo lumumbaa??
Mkuu vipi na hi
Huyu ni mwenyekiti wa chama chetu (chama dume) mkoa wa JF, naomba wanachama wote tumpe ushirikiano. Kigumu chama chetu......Una kasi ya mwndo kasi humu JF?
Unacheo gani hapo lumumbaa??
Mwenyekiti unaona umefuta ile signature tukufu madhara yake ndio haya! hebu rudisha bwana iwe na rangi ile ile!!!Cheo changu ni Sho-kushugi
ItarudiMwenyekiti unaona umefuta ile signature tukufu madhara yake ndio haya! hebu rudisha bwana iwe na rangi ile ile!!!
Kweli we sho-kushugiCheo changu ni Sho-kushugi
Anatafuta UDCWewe huna Elimu ya juu na hayo unayongea ni pumba tupu.wizara zinalalamika mizigo na kodi kuwa kubwa wewe unakuja kubwabwaja ujinga hapa.
Swissme
mkuu na wewe umeongezewa tshs ngapi na tigo na voda kwa kutuma na kupokea pesa ukipata jibu utajua kwa nini makusanyo kutoka makampuni ya cm yameongezekaTunataka wingi was mizigo au makusanyo zaidi?
Enzi hii ya Magufuli wakwepa kodi lazima wayeyuke. Watabaki wachache wafanyabiashara halisi. Yuko wapi Home Shopping Centre ambaye alikuwa ndiyo bandari na TRA mwenyewe?
Sishangai kusikia mizigo ya Congo kupungua. Huenda ilikuwa chaka la kukwepa kodi tu lakini mizigo iliishia Kariakoo! !
Mwezi July pekee kwa mara ya kwanza, Vodacom wamelipa excise duty ya 1.7 billion badala ya million 350! Tigo nao zaidi ya 1.2 billion badala ya million 250!
Kwa mwaka mzima Vodacom na Tigo watalipa kiasi gani? Kwa trend hiyo, haitapungua billion 45. Hayo ndiyo mapato yote ya SMZ kwa Mwezi mzima.