Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,125
kwanini mkuu??Nasisitiza kama Waziri wa Fedha ataendelea kuwa Dr. Mpango basi tutarajie hali kuwa mbaya zaidi kila sehemu
Mkuu huyu Dkt mimi aliwahi kuwa mwalimu wangu namafahamu vyema akili na muelekeo wake..anamshauri vibaya Mwenye Nchikwanini mkuu??
Ulitaka awe apewe nani sasa?Mkuu huyu Dkt mimi aliwahi kuwa mwalimu wangu namafahamu vyema akili na muelekeo wake..anamshauri vibaya Mwenye Nchi
Kwenye hili la muundo wa kodi za 2016/17 serikali imechemsha.Sijui ni mara ngapi wadau mbalimbali wamesema kwamba haya mambo ya kubandika kodi za bandarini kama VAT kwenye transit goods yanakimbiza wateja toka bandari ya Dar. Kwa kusikitisha sana, serikali yetu ikawa kila ikiambiwa hivyo inakuwa kama tunampigia mbuzi gitaa. Sasa serikali imekiri kwamba mizigo katika Bandari yetu imepungua kwa asilimia 42. Sasa serikali inapanga mikakati kwenda kuwabembeleza watumiaj wa bandari ya Dar warudi.
Sasa ujumbe kwa serikali ni kwamba, ubishi hautatupeleka mbali, ni muhimu sana kuwasikiliza wadau badala ya kujifanya ukiwa kigogo basi unajua kila kitu na wengine wote wanaongea pumba.
Sasa bado suala la kuongeza VAT kwenye mambo ya utalii, na mengineyo.
See: IPPMedia
Govt caves in, admits to 42 pc business slump at Dar port
Selikali inafanya sawa kabisa. Nakupa mfano ulio hai. Ndani ya emirates kuna nchi inaitwa Ajman.kuna port ya Ajman ambayo kipindi cha miaka5 ya nyuma bandari ilikuwa full of vessel full of cargo na kipato kilikuwa juu.Badae walitangaza tenda ya kubinafsisha bandari. Kuna kampuni inaitwa Hutchison ilishinda tenda. Huyu Hutchison ndio mmiliki wa Ticks hapo Dar.Sijui ni mara ngapi wadau mbalimbali wamesema kwamba haya mambo ya kubandika kodi za bandarini kama VAT kwenye transit goods yanakimbiza wateja toka bandari ya Dar. Kwa kusikitisha sana, serikali yetu ikawa kila ikiambiwa hivyo inakuwa kama tunampigia mbuzi gitaa. Sasa serikali imekiri kwamba mizigo katika Bandari yetu imepungua kwa asilimia 42. Sasa serikali inapanga mikakati kwenda kuwabembeleza watumiaj wa bandari ya Dar warudi.
Sasa ujumbe kwa serikali ni kwamba, ubishi hautatupeleka mbali, ni muhimu sana kuwasikiliza wadau badala ya kujifanya ukiwa kigogo basi unajua kila kitu na wengine wote wanaongea pumba.
Sasa bado suala la kuongeza VAT kwenye mambo ya utalii, na mengineyo.
See: IPPMedia
Govt caves in, admits to 42 pc business slump at Dar port
Sijui ni mara ngapi wadau mbalimbali wamesema kwamba haya mambo ya kubandika kodi za bandarini kama VAT kwenye transit goods yanakimbiza wateja toka bandari ya Dar. Kwa kusikitisha sana, serikali yetu ikawa kila ikiambiwa hivyo inakuwa kama tunampigia mbuzi gitaa. Sasa serikali imekiri kwamba mizigo katika Bandari yetu imepungua kwa asilimia 42. Sasa serikali inapanga mikakati kwenda kuwabembeleza watumiaj wa bandari ya Dar warudi.