SIJARIBIWIWatakiri na vingine pia subiri mapato ya September uone
[emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]SIJARIBIWI
Pumzi na bundle vimekataYupo wapi yule mteteaji wa Serikali na CCM JF....? Kila Post alikuwa Anakommenti
Ilikuwaje katika post moja akachagua zaidi ya mtu mmoja au ndani ya mwezi mmoja unabadilisha/ kutengua uteuzi.Magufuli ni kiongozi makini sana..Mizigo imepungua lakini mapato yameongezeka....bora uwe na mizigo michache lakini ilipiwe kodi...
🙄🙄Shetani ukimuendekeza anasaidia kukupeleka unapotaka.... Ashukuriwe sana
Yap!shetani anaitwa mungu hii duniaShetani ukimuendekeza anasaidia kukupeleka unapotaka.... Ashukuriwe sana
mkuu ashukuriwe shweitwani? auShetani ukimuendekeza anasaidia kukupeleka unapotaka.... Ashukuriwe sana
Muda huwa ni muamuzi mzuri, watu wakisema kwamba hii serikali inajitekenya yenyewe wanaambiwa ni wachochezi, Hatari kubwa tuliyonayo ni kuwa na viongozi ambao wanalinda vyeo badala ya kuvitumikia vyeo vyao, sasa unajiuliza MTU anapika data za mapato ili nini sasa,Serikali hii naona inashindana na serikali iliyopita kwamba ni ipi inafanya vizuri ukilinganisha na nyingine ndo maana hzi data zinapikwa. Ukweli ni kwamba kwa MTU mwenye akili ukitizama ile budget iliyopitishwa unaona kuwa haitupeleki kokote, tulihitaji sana mawazo na michango ya wapinzani katika ila budget ila kwa bahati mbaya wabunge wa ccm waliamua kufanya walichofanya, badala ya bunge kuwa sehemu ya kuapambanisha hoja ili tupate njia itakayo tupeleka pale ambapo jicho la kila mtanzania mpenda maendeleo linapatizama imekuwa ni sehemu ya kuilinda serikali. YAANI IKITOKEA UMEONA MAENDELEO TANZANIA UJUE YAMETOKEA TU SABABU WAKATI WAKE UMEFIKA NA SI KWAMBA YALIANDALIWA KUTOKEA.
Na Mitandao ya Airtel, sasatel na ttcl vip? Makusanyo yao. Maana siamini viwango vidogo vinavyokusanywa na makampuni ya simu apa Tanzania. Mfano mdogo kwamba kalibia kila kijana aliyefikisha miaka 18. Anatumia simu, Leo hii mapato kodi yake inadhidiwa na sigara na bia kitu ambacho Watumiaji wake ni asilimia chache sanaTunataka wingi was mizigo au makusanyo zaidi?
Enzi hii ya Magufuli wakwepa kodi lazima wayeyuke. Watabaki wachache wafanyabiashara halisi. Yuko wapi Home Shopping Centre ambaye alikuwa ndiyo bandari na TRA mwenyewe?
Sishangai kusikia mizigo ya Congo kupungua. Huenda ilikuwa chaka la kukwepa kodi tu lakini mizigo iliishia Kariakoo! !
Mwezi July pekee kwa mara ya kwanza, Vodacom wamelipa excise duty ya 1.7 billion badala ya million 350! Tigo nao zaidi ya 1.2 billion badala ya million 250!
Kwa mwaka mzima Vodacom na Tigo watalipa kiasi gani? Kwa trend hiyo, haitapungua billion 45. Hayo ndiyo mapato yote ya SMZ kwa Mwezi mzima.