TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
 
umeambiwa yamepungua kutoka tani efu arobaini mpaka tani elfu moja
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
 
Labda washauri wanaogopa kumwambia ukweli mfalme....

Tatizo TRA wenyewe wanatoza kodi kwa kuwakomoa wafanyabiashara.

Imefika wakati kufanya biashara Tanzania ni kama dhambi.!
SWADAKTA KABISA MIMI NI MEAMUA KUJIAJIRI NIKAFUNGUA BIASHARA SASA KASHESHE KWENYE KUIPATA HIYO TIN NUMBER KWA KODI NILIYOKADILIWA SIKUSTAHILI NIKIWA KAMA MFANYA BIASHARA MDOGO KWAHIYO WANATUBANA SISI NASIYO BANDARI YAANI KWA MAISHA YA BONGO HAYAFEVI KUANZISHA BIASHARA KWA HIZ KOD
 
Utasikia katengua uteuzi wa mkurugenzi wa TPA
 
Jk kwann humshauri bwana mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…