TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
mizigo ilivyokua mingi mapato yalikua hayaonekani, sasa ya nn iwe mingi

hio hio michache mapato yanayo onekana inatosha
 
Toka tani 40,000 hadi tani 1000 nataka TRA watwambie kodi wanayokusanya kwa kiwango cha lami kama wanavyojinadi wanaitoa katika vyanzo vipi? Na wale waliokuwa wanapika kelele kuwa watu wanakwepa kodi wanaweza wakawasaidia kujibu pia
kuna rais kaondolewa madarakani huko brazill kwa kufinyanga data. TRA mmm sijui wanakusanya kodi toka wapi! let us wait and see🙁
 
Hivi umemwelewa mkurugenzi mkuu wa bandari kweli?Amekiri hali ya bandari sio nzuri na mizigo kupungua kwa asilimia kubwa.
mizigo ilivyokua mingi mapato yalikua hayaonekani, sasa ya nn iwe mingi

hio hio michache mapato yanayo onekana inatosha
 
labda unieleweshe mapato ya bandarini yanaingiaje?
Toka tani 40000 kupungua hadi tani 1000 mapato unayakusanyaje kwa kiwango kikubwa? Au mwenzetu unajua mapato yanakusanywa kwa ruti za meli kama ulivyosema zinapishana bandarini?
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Duu nawe umekuja na Kali ya mwaka!umejibu kisiasa,hujasikia bosi wa bandari anakiri mizigo kupungua,icd kuikosa mizigo?
 
Toka tani 40000 kupungua hadi tani 1000 mapato unayakusanyaje kwa kiwango kikubwa? Au mwenzetu unajua mapato yanakusanywa kwa ruti za meli kama ulivyosema zinapishana bandarini?
kipindi cha hizo tani 40000 hela ilikua inaliwa na wachache
 
Toka tani 40000 kupungua hadi tani 1000 mapato unayakusanyaje kwa kiwango kikubwa? Au mwenzetu unajua mapato yanakusanywa kwa ruti za meli kama ulivyosema zinapishana bandarini?
mizigo inakuja inaelea yenyewe kwenye maji sio?
 
Jumatatu asubui utawasikia Clouds Fm wakikanusha na jioni utawaona pale TBC wakisema ni hali ya dunia nzima. Taaluma ikizidiwa na Siasa/Uoga utashi unapotea. Ni wakati wa TPA&TRA kuwa wakweli,mapato ya kupika ni kwa miezi michache ila sio kwa miaka mingi.
 
Ongeza nyingine kwamba wanamuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…