citizensindevelopment18
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 1,636
- 830
Kazi ipoMakamba so far alichofanikiwa Ni kuingia contract na ma co. Mbalimbali. Mara Ile ya wahindi, ghafla imekuja hii ya waingereza.
Lkn humsikii akitafuta solution ya kudumu ya kukatika kwa umeme.
Mama anaponya nchi.
Acha porojo jibu suali langu.Watu kama nyie mnafurahisha kweli umeshawahi kuangalia documentary yoyote ya cyber war.
Watu wanatumiana salamu kwa kuingilia infrastructures za nchi, Iran mitambo yao nuclear enrichment ilipoingiliwa walirudisha salamu kwa kuzima traffic lights na kuchezea kidogo New York subway kwa lengo la kuonyesha ata wao wakiamua wanaweza peleka mazara U.S.
U.S wenyewe na wao wakadai wana uwezo huohuo wakiamua kuingilia mifumo yao mpaka ya maji na kupeleka madhara makubwa aijatokea.
Wewe unashangilia system ya TANESCO kutengenezwa na wahindi halafu kusimamiwa in real time India; we might as well tell them where the nation stores its military ammunition’s.
It’s just stupid, ata watu wakishanunua ndege za vita kitu cha kwanza wana configure electronic systems zake, usidhani waarabu wananunua tu ndege US na software za US.
............................
Na ata hiyo tender ya TPDC ilikuwa kwa ajili ya consultants kuja kuwanoa wataalamu kabla ya majadiliano kuanza; waingie wamejipanga. Sio consultant aje au ashiriki kipindi cha majadiliano na kuweka influence zake.
Real time monitoring inafanyikia wapi hivi unafahamu nishati, hasa ya umeme ilivyo sensitive kwenye maswala ya national security.Acha porojo jibu suali langu.
Kwa nyongeza tu ni kwamba hata juzi waziri Mkenda amewaambia jamaa waanze kutengeneza vipuri hapahapa TZ.
Uwezo huo Tanzania bado sana buddy, na wala sishangulii Tanesco kuajiri wahindi huo ni upumbavu wetu waafrika tulio nao kwa miaka 60.
Naelewa kwamba Tanesco ni part of national infrastructure security sensitive, na nimewahi kulizungumza hili humuhumu JF.Real time monitoring inafanyikia wapi hivi unafahamu nishati, hasa ya umeme ilivyo sensitive kwenye maswala ya national security.
Ndugu ata huko mamtoni kwenye wazalishaji binafsi serikali kuwamudu kuna strategy za kuwakagua kupitia regulator sikia tu, maana kuna watu washaanza kulilia TANESCO igawanye wakati usimamizi wa inventory ya mafuta ya kupikia tu kwetu shida, tunataka kuchezea sensitive areas za usalama wa nchi.
Pamoja na nchi tajiri kuachia private firms kuzalisha umeme; ikifika kwenye swala kusimamia national grid ni la serikali.
TANESCO na ukubwa wake unaenda tengeneza GIS electrical system inayofanya real time monitoring ya power supply Tanzania halafu control ipo India.
You people are not serious, tusione watu wanafanya vitu huko kwa wenzetu tukachukulia poa wana system zao ambazo zimewekewa ringfenced with national security in mind.
Kama ni admin system ya kawaida sidhani kama inahitaji real time monitoring.
Walau una uungwana wa kukubali tatizo lilipo moreover wakati Tanzania wanazungumza contract ni ya kutengeneza customer system, huko nje mkataba unasema tofauti.Naelewa kwamba Tanesco ni part of national infrastructure security sensitive, na nimewahi kulizungumza hili humuhumu JF.
Sasa, kuaachia watu wachache waamue kuingilia mifumo hii inohusiana na maslahi na usalama wa taifa ni jambo la kipumbavu.
Wenzetu wanadhibiti hizi kampuni kwa regulations mbalimbali likiwemo suala la mfumuko wa bei ya bidhaa hii ya umeme.
Kampuni nyingi za private zinafuata guidelines na regulations je sisi kama nchi baada ya miaka 60 ya uhuru, tunazo strong guidelines na regulations?
Kwa kuendelea kuiingilia Tanesco kwa hujuma ili majenereta yapate soko huo ni upumbavu na si ujinga.
Huko kwenye mimi ushauri wangu ni kupunguza Tozo tu, na ndicho huyo beberu atawashauri
Na utaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo....huo ni upumbavu wetu waafrika tulio nao kwa miaka 60.
Hakuna mkuu tusidanganyane haya mambo yanataka experience ,wenye mahotel wangap wabongo mnaajiri wakenya ,ajira za kizalendo ni kufua ,kudeki ulinzi getin ila mambo ya kitaalamu we hire the best come from whereva ,gesi ni mradi wa matillion unataka tumpe kinatalaHakuna Local Firm inayoweza Kufanya hio kazi??
Basi tusiwe tunafundisha sheriaHakuna mkuu tusidanganyane haya mambo yanataka experience ,wenye mahotel wangap wabongo mnaajiri wakenya ,ajira za kizalendo ni kufua ,kudeki ulinzi getin ila mambo ya kitaalamu we hire the best come from whereva ,gesi ni mradi wa matillion unataka tumpe kinatala
Fundisheni vizuri ndani ,wapeni sponsorship watoto wakasome best universities ,hawa waingereza hawajapewa kama maandazi wamecompete .hata ww ukihitaji daktari bora wa kumpasua moyo mwanao utachukua daktari bora popote au mtanzania mwenye chet tu???Basi tusiwe tunafundisha sheria
... TPDC si iko chini ya wizara gani?
😂😂😂😂Mama amefungua nchi....!!!See
Nimemuagalia akijibu maombi na hoja za machinga nikajiuliza watanganyika tuna laana ya kitaifa tumebebeshwa sio bure,