daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Profesa Kabudi ni mtaalamu wa negotiations
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tunaye sana...Makamba hafai kwa lolote serikalini, asiuhadaa umma wa watanzania. Hakuna kitu kitabadilika chini yake zaidi ya kuongezeka kwa matatizo. Acha aendelee kuuficha ukweli ila muda utaweka bayana ndipo huyo aliyembeba atamtua kwa uzito atakao mpa.
Nani sasa this time?Mungu ukifika mwezi wa tatu, fanya kama mwaka jana.
Mtaalam wa negotiations aliyesomea na hata kwenye wasifu wake ipo ni Prof. Luoga Governor, tena ana mastery (ubobezi) ya sheria za kimataifa za fedha, biashara na mikataba. Kabudi ni mbobezi wa sheria za kawaida tu, ila ana ujasiri kuzidi simba dume kwenye kukabili mabeberu, alafu anaogopa kama ukoma senti tano ya serikali, sifa ambazo Watz wengi hawana. Kwenye usafi wa maadili namlinganisha Kabudi na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Tz Mhe. Lameck Mfalila.Profesa Kabudi ni mtaalamu wa negotiations
Wakurugenzi wenye asili ya Malawi?!anaacha baadhi ya Wakurugenzi wenye asili ya 'Malawi'
Mkuu acha kwanza 'vetting' zifanyike na mamlaka husika ili mbivu na mbichi zijulikane..Wakurugenzi wenye asili ya Malawi?!
Wakoje hao? Msaada tutani hapo tfdhl.
Labda mama amemtega Makamba ajimalize kwa mafuta yake mwenyewe ili 2030 apoteze sifa. Mama mjanja yule, teuzi zake zingine siyo ulaji au ujiko bali zinaweza kuwa za kimkakati kuelekea 2030 ili wahusika waogelee tabia zao kama nguruwe anavyoogelea kwenye kinyesi chake na matapishi yake akisubiria uje umuogeshe kumbe asijuwe kinachofuata ni nyundo, kisu na maji ya moto.Kwa jinsi nilivyokuwa namwona Waziri Makamba niliona ni mtu mwenye uwezo sana na 'visionary'.. 'unfortunately
I was mistaken..'
Bado tunaingia mikataba ya ajabu ajabu.. Anaweka marafiki kwenye mashirika ya kimkakati kama Tanesco, anaacha baadhi ya Wakurugenzi wenye asili ya 'Malawi' kuliendesha TPDC n.k.
Umeandika vizuri lakini ulipoweka tuu wenye asili ya malawi nikajua na wewe ni kopo tuu kama MakambaKwa jinsi nilivyokuwa namwona Waziri Makamba niliona ni mtu mwenye uwezo sana na 'visionary'.. 'unfortunately
I was mistaken..'
Bado tunaingia mikataba ya ajabu ajabu.. Anaweka marafiki kwenye mashirika ya kimkakati kama Tanesco, anaacha baadhi ya Wakurugenzi wenye asili ya 'Malawi' kuliendesha TPDC n.k.
Mkuu mimi kinachonipa shida ni kwamba sioni uaminifu wa Makamba kwa mama sawa na kiapo chake, yaani kuna wateule wengine ambao wameteuliwa na Oligarchy, majina yao kutangazwa na KM na mama kupewa tu jukumu la kuwaapisha.Mkuu acha kwanza 'vetting' zifanyike na mamlaka husika ili mbivu na mbichi zijulikane..
Kumbe huwezi hata kusoma 'between the lines'..Umeandika vizuri lakini ulipoweka tuu wenye asili ya malawi nikajua na wewe ni kopo tuu kama Makamba
Mkuu umenena vyema.. Makamba angeweza kufanya vizuri katika Wizara zisizokuwa 'Ministries of interest'.. Kwa Wizara hii baadhi ya 'Walezi ' wake kisiasa wanaihemea sana Wizara hii na ndiyo yenye mlango mkubwa wa 'grand corruption'.. Ndiyo maana katika Wizara hii anaonekanaMkuu mimi kinachonipa shida ni kwamba sioni uaminifu wa Makamba kwa mama sawa na kiapo chake, yaani kuna wateule wengine ambao wameteuliwa na Oligarchy, majina yao kutangazwa na KM na mama kupewa tu jukumu la kuwaapisha.
Maana yake ni kwamba wanawezakuwa loyal kwa wateuzi wao kuliko kwa Supervisor wao mama (insubordination). Hapo ndipo Deep State inapozaliwa!
Hii inafanya nione watu kama rais wa mawe, riz, Mtama Jr, mzee wa Bumbuli wakiwa wamewahishwa kukalia kuti kavu mapema ya 2030 bila wao kujuwa.Mkuu mimi kinachonipa shida ni kwamba sioni uaminifu wa Makamba kwa mama sawa na kiapo chake, yaani kuna wateule wengine ambao wameteuliwa na Oligarchy, majina yao kutangazwa na KM na mama kupewa tu jukumu la kuwaapisha.
Maana yake ni kwamba wanawezakuwa loyal kwa wateuzi wao kuliko kwa Supervisor wao mama (insubordination). Hapo ndipo Deep State inapozaliwa!
Hapa ndipo pale ambapo kila mtu alikuwa anapalilia kufika, nadhani wale waliokuwa wanataka asifike mwisho ndani ya mioyo yao najua wanatubu although in rael life they cant open their mouth to kuongea, namkumbuka jamaa yangu mmoja ambaye now anabadirika taratibu ahahahaaaaa!.Kuna mahali tulikosea sana kama nchi maana si kwa mapigo haya tunayopigwa mkuu. Inafika level unaona kama uko ndotoni hv lakini ndiyo hali halisi.
Hahahaaa... Ministries of Interest. Umetumia Linguistic Intelligence kutupatia new terminology. Ila umeongea vitu empirical, nadhani intellectuals watakuelewa mkuu.Mkuu umenena vyema.. Makamba angeweza kufanya vizuri katika Wizara zisizokuwa 'Ministries of interest'.. Kwa Wizara hii baadhi ya 'Walezi ' wake kisiasa wanaihemea sana Wizara hii na ndiyo yenye mlango mkubwa wa 'grand corruption'.. Ndiyo maana katika Wizara hii anaonekana
'too weak to shine'..
Kuna wakati tunatarajia kutofanywa wajinga?Ni mpaka lini wa TZ tutafanywa kua wajinga kiasi hiki ??
Ndio haya tunayopigia kelele kila siku kuna wataalamu wa mikataba ya mafuta huko serikalini wamewaka stance based na uelewa wao.
Anaingia raisi analazimisha majadaliano ikibidi nchi iondoe bargaining chip zake ilimaradi asifiwe na wapuuzi kama hakina Zitto ambao uwezo wa kuelewa hiyo mikataba unaishia kwenye kelele za local content wakati negotiations za mradi wenyewe ni very complicated.
Matokeo yake kuharakisha mikataba wizara anapewa mtu kama January he is only a good leader kama angekuwa anashirikiana na technocrats wa wizara na taasisi zake. Yeye ana marafiki zake wanaoandika ujinga huko Twitter na analysis za upuuzi anadhani wanajua mambo na kufuata ushauri ndio tunaishia kuelekea huku tunapokwenda.
Lini Tanzania iliwahi shinda kesi nje ya nchi kwa kutumia mawakili wa kigeni; kesi ya ndege S.A tulishinda wenyewe kwengine kote chali.
Huyu mtu anatakiwa kutolewa hapo nishati hiyo wizara ni so sensitive for national security kupewa mtu ambae mpaka sasa ameshadhihirisha ni wa ovyo and clueless yeye na team yake.