Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingineWewe ni mpuuzi kweli sasa unadhani jeshi ndilo limesababisha tetemeko. Mbona kiwango chako cha kufikria ni finyu hivyo?
Hapa tunaongelea kitu kingine wewe unaleta issue za tetemeko kamasio mbumbumbu wewe ni kitu gani.
Wewe dogo jifunze kutumia mitandao sio kuja kuropoka hovyo hovyo tu hapa hujui kwanini tunachangia hapa.
Sawa! hii ndio hufanya baadhi ya watahiniwa kufaulu na baadhi yenu 'kudunda'.naona na macho..
muhimu sanaSawa! hii ndio hufanya baadhi ya watahiniwa kufaulu na baadhi yenu 'kudunda'.
Yep!muhimu sana
Huyo jamaa anajifanya anaipenda jw, hatuambii Sudan jinsi wanavyofanywa na janjawirijazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingine
Ni kweli mkuu,hata kdf walienda na vifaru pale westgate,wakaishia kuiba biskuti na juice,ubora unahitaji utiifu kwa 100%,sio zana peke yakeSijakupata vizuri,
Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.
Nchi zingine zinarusha vyombo kwenda kwenye sayari zingine je wewe umetengeneza hata ka chombo ka kwenda juu ya paa la nyumba? Wewe unalaumu serikali imekufanyia nini badala ya kujilaumu wewe kuwa hujafanya lolote!!?jazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingine
Boss, get your facts right....Only the first two pics are of the KDF and Administration police respectively. The other two are not of Kenyan forces. Probably Ugandan.twende kwa vijana wa kenyatta
![]()
![]()
![]()
![]()
Nina kuunga mkono kabisa, Africa bado tuko kwenye kiza! Sometimes ndiyo maana hata bara lenyewe linaitwa giza maneno mengi sana ila hakuna Lolote. Kuna wengine wanapima jeshi kwa kupasua matofali something funny. Tuna uongozi mbaya sana, Viongozi wa wa Africa vigeu geu, warafi sijui huwa wanawaza nini pamoja na mirasmali iliyopo Africa, nasikia kizungu zangu kabisa!Inawafundisha muache kiherehere. Dunia hii ina wenyewe, hakikisha una zana za kweli za kivita, hususan ndege, huwezi kuwa namba 27 kwa kupasua pasua matofali. Waafrika aliyetulaani kafia zake mbali maana tunatia huruma.
Marekani akiamua kutupea kibano Afrika, itakua mwendo wa raha kwake, maana atakua anabonyeza bonyeza tu.
pumbavu wewe mimi nimlipa kodi halali ndomana na ilaumu serikaliNchi zingine zinarusha vyombo kwenda kwenye sayari zingine je wewe umetengeneza hata ka chombo ka kwenda juu ya paa la nyumba? Wewe unalaumu serikali imekufanyia nini badala ya kujilaumu wewe kuwa hujafanya lolote!!?
Unalipa kodi wapi. Akili finyu sana wewe. Nimekuuliza wewe umetengeneza hata kifaa cha kurusha kwenda kwenye paa la nyumba?pumbavu wewe mimi nimlipa kodi halali ndomana na ilaumu serikali
jinga kabisa nilimvumbua mamakoUnalipa kodi wapi. Akili finyu sana wewe. Nimekuuliza wewe umetengeneza hata kifaa cha kurusha kwenda kwenye paa la nyumba?
Halafu unakuja na kutoa povu hapa kuhusu kulipa kodi. Kulipa kodi ni wajibu wa kila raia.
Na ni wajibu wa raia kufanya kazi kwa nguvu na kuvumbua vitu tofauti tofauti.
Wewe hapo ulipo umevumbua kitu gani? Au akili zako zimebebwa na mtu mwingine!!?
Weka nazile wamebeba mifuko ya biskuti na Yale mavifaru hapo west gate.twende kwa vijana wa kenyatta
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa swala la Mama yangu limetokea wapi. Kama sio wewe ni bwabwa!!?jinga kabisa nilimvumbua mamako