TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Wewe ni mpuuzi kweli sasa unadhani jeshi ndilo limesababisha tetemeko. Mbona kiwango chako cha kufikria ni finyu hivyo?
Hapa tunaongelea kitu kingine wewe unaleta issue za tetemeko kamasio mbumbumbu wewe ni kitu gani.

Wewe dogo jifunze kutumia mitandao sio kuja kuropoka hovyo hovyo tu hapa hujui kwanini tunachangia hapa.
jazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingine
 
Yaani DRC imeizidi Tanzania wakati Rwanda tu waliwapiga vibaya
 
jazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingine
Huyo jamaa anajifanya anaipenda jw, hatuambii Sudan jinsi wanavyofanywa na janjawiri
 
Sijakupata vizuri,

Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.
Ni kweli mkuu,hata kdf walienda na vifaru pale westgate,wakaishia kuiba biskuti na juice,ubora unahitaji utiifu kwa 100%,sio zana peke yake
 
jazba hazi saidii kukutoa ujinga ulionao kichwani acha upumbavu kubali uelimishwe hata kama ni kuruta umetumwa kuja kutetea waambie kazi ya jeshi sio kujisifu mitandaoni,kazi yao nikushiriki katika shughuli za ujenzi wataifa,ulinzi na mengine mengi yanayofanananao sio kuja hapa kujisifu wanaongoza kwa sijui duniani kuvunja matofali wakati unao jaribu kushindananao wanarusha vyombo sayari ingine
Nchi zingine zinarusha vyombo kwenda kwenye sayari zingine je wewe umetengeneza hata ka chombo ka kwenda juu ya paa la nyumba? Wewe unalaumu serikali imekufanyia nini badala ya kujilaumu wewe kuwa hujafanya lolote!!?
 
63c1c65d21d69be3726ad9b308fed0d2.jpg
4294d6efb6e7156cd546f2bd0503afb0.jpg
1c56b6a0b18f33900a4e459de45291b0.jpg
31876c5705e8e64114c830fa4df2bcc1.jpg
cc63754142371e46bd8e66dc385622ef.jpg
c71db6f368cb745722349e09fb381f5d.jpg
uzi uendelee jaman[emoji3]
 
twende kwa vijana wa kenyatta
73dc476751448f461fce5764238bce0f.jpg
b1821aff026b7caf2063ccbaf42ae96d.jpg
c585d8a5226c061e399b3ffb2290bb6c.jpg
360ee4f3944aca2cfc6b2bde0f72e2af.jpg
Boss, get your facts right....Only the first two pics are of the KDF and Administration police respectively. The other two are not of Kenyan forces. Probably Ugandan.
 
Inawafundisha muache kiherehere. Dunia hii ina wenyewe, hakikisha una zana za kweli za kivita, hususan ndege, huwezi kuwa namba 27 kwa kupasua pasua matofali. Waafrika aliyetulaani kafia zake mbali maana tunatia huruma.

Marekani akiamua kutupea kibano Afrika, itakua mwendo wa raha kwake, maana atakua anabonyeza bonyeza tu.
Nina kuunga mkono kabisa, Africa bado tuko kwenye kiza! Sometimes ndiyo maana hata bara lenyewe linaitwa giza maneno mengi sana ila hakuna Lolote. Kuna wengine wanapima jeshi kwa kupasua matofali something funny. Tuna uongozi mbaya sana, Viongozi wa wa Africa vigeu geu, warafi sijui huwa wanawaza nini pamoja na mirasmali iliyopo Africa, nasikia kizungu zangu kabisa!
 
Nchi zingine zinarusha vyombo kwenda kwenye sayari zingine je wewe umetengeneza hata ka chombo ka kwenda juu ya paa la nyumba? Wewe unalaumu serikali imekufanyia nini badala ya kujilaumu wewe kuwa hujafanya lolote!!?
pumbavu wewe mimi nimlipa kodi halali ndomana na ilaumu serikali
 
pumbavu wewe mimi nimlipa kodi halali ndomana na ilaumu serikali
Unalipa kodi wapi. Akili finyu sana wewe. Nimekuuliza wewe umetengeneza hata kifaa cha kurusha kwenda kwenye paa la nyumba?

Halafu unakuja na kutoa povu hapa kuhusu kulipa kodi. Kulipa kodi ni wajibu wa kila raia.
Na ni wajibu wa raia kufanya kazi kwa nguvu na kuvumbua vitu tofauti tofauti.

Wewe hapo ulipo umevumbua kitu gani? Au akili zako zimebebwa na mtu mwingine!!?
 
jinga kabisa nilimvumbua mamako
 
jinga kabisa nilimvumbua mamako
Sasa swala la Mama yangu limetokea wapi. Kama sio wewe ni bwabwa!!?

Wewe ni zuzu kiwango cha PHD. Huna ujualo zaidi ya kutoa ufyuzi na uharo mdomoni.
 
Back
Top Bottom