Level yenu ni Mashujaa, usijilinganishe na aliyekuacha point 20Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
Kwa simba sc uko hivyo ikikutana tena na yanga na golikipa awe kindoki mtalia taifaMpira hauko hivyo unavyofikiria ndugu. Football is not mathematics that if A=B and B=C then automatically A=C.
Hiyo timu ni mbovu mkuu, mkipiga national Al ahly hapa taifa hapo ndiyo kitakuwa kipimo shogun kwa simbaUnataka kusema mwadui ni bora kuliko mwarabu au?
Si nyinyi mlikuwa mnasema watatufunga?
Anza safari ya Congo gari limewaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katuzidi mechi ngapi? Sema katuzidi point 5 mwisho wa ligi msije kusema tunapanga matokeo nawashauri kila game mnayocheza mshinde mkianguka mbili mmekwisha
Mechi yenu ya kimataifa hii
vip mdau naona umetokomea kimya kimya bila hata kuagaMwadui piga haoooooooo
Al ahly hana lolote akija dsm kwa sababu ya hali ya hewa, cairo kuna nyuzi joto 8 kwa leo DSM nyuzi joto 32 kwa leo kwa ulinganifu huo kwanini asifungwe taifa na aache kutufunga Cairo?Hiyo timu ni mbovu mkuu, mkipiga national Al ahly hapa taifa hapo ndiyo kitakuwa kipimo shogun kwa simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida nyinyi si mnafurahia kumfunga Yanga kuliko Ubingwa. Mbumbumbu FC.Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
Vipi hali yao sasa hivì ikoje?
Hao Al ahly wenyewe wabovu mechi Yao mwamuzi ndo alikuwa man of the match.Hiyo timu ni mbovu mkuu, mkipiga national Al ahly hapa taifa hapo ndiyo kitakuwa kipimo shogun kwa simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unateseka
Shallow men believe in luck. Strong men believe in cause and effect. (Watu dhaifu huamini kuna bahati. Watu madhubuti huamini kuna sababu kwa kila jambo). - Ralph Waldo Emerson
Nenda kawe kocha wao ili wawe makini
Na kumbuka kuwa Yanga ikiwa bingwa, inamaana timu zilizobakia kwenye ligi ya Tanzania ni mbovu zaidi kuliko hawa Yanga na ndio maana Yanga akaweza kuchukua ubingwa. Kwahiyo Simba watakuwa ni wabovu zaidi ya Yanga endapo hii Yanga itachukua ubingwaYanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app