TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
Level yenu ni Mashujaa, usijilinganishe na aliyekuacha point 20

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo timu ni mbovu mkuu, mkipiga national Al ahly hapa taifa hapo ndiyo kitakuwa kipimo shogun kwa simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Al ahly hana lolote akija dsm kwa sababu ya hali ya hewa, cairo kuna nyuzi joto 8 kwa leo DSM nyuzi joto 32 kwa leo kwa ulinganifu huo kwanini asifungwe taifa na aache kutufunga Cairo?
 
Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
Hakuna shida nyinyi si mnafurahia kumfunga Yanga kuliko Ubingwa. Mbumbumbu FC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo timu ni mbovu mkuu, mkipiga national Al ahly hapa taifa hapo ndiyo kitakuwa kipimo shogun kwa simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Al ahly wenyewe wabovu mechi Yao mwamuzi ndo alikuwa man of the match.
Mlianza na Mbabane, mkahamia Nkana kwa kelele nyingi sanaaaa baada ya kuona tumewanyoa mkahamia kwa Saoura.
Karibu taifa umshangilie Mwarabu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi awa wanacheza ligi ya kimataifa wanafuata nini huku TPL. Nakutokwa na povu na kuumia roho wao si wanasema sio level ya TPL kweli Msomali akukosea kuwaita lile jina
 
TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi

Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeo
50414377_1255818657917706_5076782812820930560_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kumbuka kuwa Yanga ikiwa bingwa, inamaana timu zilizobakia kwenye ligi ya Tanzania ni mbovu zaidi kuliko hawa Yanga na ndio maana Yanga akaweza kuchukua ubingwa. Kwahiyo Simba watakuwa ni wabovu zaidi ya Yanga endapo hii Yanga itachukua ubingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom