TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA


2018 au 19 walikua wati kama wewe wakakutana na AGOA
 
Naomba mwenye link ya whatsApp group kwa nafasi za HR
 
Sio kwa ajira za TRA, kuna watu na pesa wametoa lakini wamekosa.!!
Kuna bro nyakati za nyuma, alifanya poa mpaka ana kwa ana, na aka bet 5M, lakini hakupata. Jamaa akarudisha pay akamwambia Seniors walizikamia nafasi.

Ila kama mtu kaitwa akafanye tu part yake, lakini asiweke matarajio makubwa...ili nafsi yake iwe na amani hata akikosa
 
Habari wakuu hivi jina likiwa na initial katikati mfano Kuna baadhi ya vyeti kama form 4 or 6 mfano isa juma nkuya ikawa isa J nkuya na vingine kama vya chuo na kuzaliwa ni full Isa Juma Nkuya kuna haja ya deadpoll?
 
Tatizo watu wabishi hawaupendi ukweli..! Ajira za TRA ni za kuwekana nchi hii.
 
Habari wakuu hivi jina likiwa na initial katikati mfano Kuna baadhi ya vyeti kama form 4 or 6 mfano isa juma nkuya ikawa isa J nkuya na vingine kama vya chuo na kuzaliwa ni full Isa Juma Nkuya kuna haja ya deadpoll?
Ndiyo kuna lazima. Hayo ni majina tofauti
 
Kula mkuu wajinga ndio waliwao 😹
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
 
Habari wakuu hivi jina likiwa na initial katikati mfano Kuna baadhi ya vyeti kama form 4 or 6 mfano isa juma nkuya ikawa isa J nkuya na vingine kama vya chuo na kuzaliwa ni full Isa Juma Nkuya kuna haja ya deadpoll?
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe

Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
 
Naomba mwenye past papers au link ya possible questions ya kada ya internal affairs anisaidie au kama Kuna Whatsapp group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…