Nadhani wale wa TRAS 4.1 kama TMO II Mshahara wao unaanzia 2,470,000 BasicHivi TRA salary ni sh ngapi?
Kwa hizi entry level.
usipotoshe watu, wapi wameandika kuweka kwenye pdf moja?Tunakumbushana tu, Certifie cheti chako cha Degree au Diploma pamoja na Transcript zake, na uziweke kwenye PDF moja.
Kama maelezo yalivyo hapa. Kifungu 10 (b).
View attachment 3234276
Kuna changamoto yoyoteNawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Mkuu wana ruhusu kuomba nafasi zaid ya moja..?Tunakumbushana tu, Certifie cheti chako cha Degree au Diploma pamoja na Transcript zake, na uziweke kwenye PDF moja.
Kama maelezo yalivyo hapa. Kifungu 10 (b).
View attachment 3234276
Kwenye kuruhusu sijui, ila kwenye tangazo lao hawajakataza.Kuna changamoto yoyote
Mkuu wana ruhusu kuomba nafasi zaid ya moja..?
Mfumo upi huo tena? Kwenye maelekezo yao wanasema document zote ziwe kwenye PDF.Mfumo wao wenyewe tu hauruhusu kuweka kwenye pdf moja,lengo la huyu jamaa sijui ni nini.
Huwa ina sumbua kwa sababu ya Volume ya watu wanao apply, mimi kuna mtu nimemfanyia jana usiku, mpaka saa saba ndo ilikuwa imetulia.Ninamsaidia kijana wangu ku apply mbona kama website haisapotibaadhi ya vitu kama ku.attach birth.certificatd na cv button haifanyi kazi ya attachment type.
Hili.wahusila.walirekebishe mapema otherwise zitakuwa ni hujuma.za makusudi
Owkey mkuu shukrani kwa ufafanuzi.🙏Kwenye kuruhusu sijui, ila kwenye tangazo lao hawajakataza.
Nafasi za mwaka 2023 watu wali apply zaidi ya moja, lakini kwenye kuchaguliwa kwa ajili ya Interview walipelekwa nafasi moja tu.
Unaweza ukajaribu kuomba nafasi zaidi ya moja ila nadhani watakuita kwenye post moja tu kwa ajili ya Usaili.
Ni Kijana wako au ni wewe?Ninamsaidia kijana wangu ku apply mbona kama website haisapotibaadhi ya vitu kama ku.attach birth.certificatd na cv button haifanyi kazi ya attachment type.
Hili.wahusila.walirekebishe mapema otherwise zitakuwa ni hujuma.za makusudi
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolew
Mkuu hiyo dsm ikiwa chini ya mchafukoge itakuwa maanaNawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Je ikiwa hivi mkuu,Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-
View attachment 3234281
Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.
Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM
Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.
Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Kwangu mimi option iliyopo ni hii ya single PDF za vyeti,hiyo option ya kuweka cheti kimoja kimoja haipo.Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.
Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.
View attachment 3234462
Mfumo upi huo tena? Kwenye maelekezo yao wanasema document zote ziwe kwenye PDF.
View attachment 3234443
Sehemu ya kuweka Transcript hakuna kwenye mfumo ila wao wanaihitaji, sasa wewe angalia cha kufanya uweke cheti na Transcript zake kwenye PDF moja au uweke cheti tu, transcript uziache.
Maamuzi ni yako hapo.
Kipengele namba 11 kinakataa ku attach transcript na results slipunaelewa wakisema neno partial lakini mkuu..?
Sio kwamba wewe ndio huja elewa vizuri hapo mkuu..?Kipengele namba 11 kinakataa ku attach transcript na results slip
"...put your all certificates in PDF.."Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.
Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.
View attachment 3234462
Sio kwamba wewe ndio huja elewa vizuri hapo mkuu..?
Mkuu,hata system haina sehemu ya kuweka transcript.Sio kwamba wewe ndio huja elewa vizuri hapo mkuu..?