TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Tunakumbushana tu, Certifie cheti chako cha Degree au Diploma pamoja na Transcript zake, na uziweke kwenye PDF moja.

Kama maelezo yalivyo hapa. Kifungu 10 (b).

1739351186454.png
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

1739351805039.png

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

View attachment 3234281

Kuna changamoto yoyote
Tunakumbushana tu, Certifie cheti chako cha Degree au Diploma pamoja na Transcript zake, na uziweke kwenye PDF moja.

Kama maelezo yalivyo hapa. Kifungu 10 (b).

View attachment 3234276
Mkuu wana ruhusu kuomba nafasi zaid ya moja..?
 
Ninamsaidia kijana wangu ku apply mbona kama website haisapotibaadhi ya vitu kama ku.attach birth.certificatd na cv button haifanyi kazi ya attachment type.

Hili.wahusila.walirekebishe mapema otherwise zitakuwa ni hujuma.za makusudi
 
Kuna changamoto yoyote

Mkuu wana ruhusu kuomba nafasi zaid ya moja..?
Kwenye kuruhusu sijui, ila kwenye tangazo lao hawajakataza.

Nafasi za mwaka 2023 watu wali apply zaidi ya moja, lakini kwenye kuchaguliwa kwa ajili ya Interview walipelekwa nafasi moja tu.

Unaweza ukajaribu kuomba nafasi zaidi ya moja ila nadhani watakuita kwenye post moja tu kwa ajili ya Usaili.
 
Mfumo wao wenyewe tu hauruhusu kuweka kwenye pdf moja,lengo la huyu jamaa sijui ni nini.
Mfumo upi huo tena? Kwenye maelekezo yao wanasema document zote ziwe kwenye PDF.

1739361190625.png

Sehemu ya kuweka Transcript hakuna kwenye mfumo ila wao wanaihitaji, sasa wewe angalia cha kufanya uweke cheti na Transcript zake kwenye PDF moja au uweke cheti tu, transcript uziache.

Maamuzi ni yako hapo.
 
Ninamsaidia kijana wangu ku apply mbona kama website haisapotibaadhi ya vitu kama ku.attach birth.certificatd na cv button haifanyi kazi ya attachment type.

Hili.wahusila.walirekebishe mapema otherwise zitakuwa ni hujuma.za makusudi
Huwa ina sumbua kwa sababu ya Volume ya watu wanao apply, mimi kuna mtu nimemfanyia jana usiku, mpaka saa saba ndo ilikuwa imetulia.
Hapo cha kufanya wewe bonyeza tu pale kwenye attach, achana na mambo ya attachment type itakusumbua sana. Kuna baadhi ya maeneo attachment type huwa inakubali kuchagua na baadhi ya maeneo haikubali.
 
Kwenye kuruhusu sijui, ila kwenye tangazo lao hawajakataza.

Nafasi za mwaka 2023 watu wali apply zaidi ya moja, lakini kwenye kuchaguliwa kwa ajili ya Interview walipelekwa nafasi moja tu.

Unaweza ukajaribu kuomba nafasi zaidi ya moja ila nadhani watakuita kwenye post moja tu kwa ajili ya Usaili.
Owkey mkuu shukrani kwa ufafanuzi.🙏
 
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

View attachment 3234281

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

Fata Maelekezo kama yalivyotolew

Mkuu hiyo dsm ikiwa chini ya mchafukoge itakuwa maana
Nawakumbusha Tena ndugu zangu :-

View attachment 3234281

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

Fata Maelekezo kama yalivyotolewa.
Je ikiwa hivi mkuu,
Commissioner general
P.O. BOX 11491
MCHAFUKOGE
DAR ES SALAAM.
 
Mfumo upi huo tena? Kwenye maelekezo yao wanasema document zote ziwe kwenye PDF.

View attachment 3234443

Sehemu ya kuweka Transcript hakuna kwenye mfumo ila wao wanaihitaji, sasa wewe angalia cha kufanya uweke cheti na Transcript zake kwenye PDF moja au uweke cheti tu, transcript uziache.

Maamuzi ni yako hapo.
 
Attachments

  • Screenshot_20250212-123716.png
    Screenshot_20250212-123716.png
    345 KB · Views: 2
Kipengele namba 11 kinakataa ku attach transcript na results slip
 
Kijana, soma vizuri maelezo pia ukiingia kwenye website yao angalia vizuri bila kukurupuka.

Maelezo yapo kwenye Home page kabisa pale kijana.

View attachment 3234462
"...put your all certificates in PDF.."

Haina maana uweke vyeti vyoye kwenye file moja.

Hii ina maana kua vyeti vinatakiwa kua inform of pdf na Wala visiwe katika hali nyingine kama word,
Sio kwamba wewe ndio huja elewa vizuri hapo mkuu..?
 
Sio kwamba wewe ndio huja elewa vizuri hapo mkuu..?
Mkuu,hata system haina sehemu ya kuweka transcript.

Kila eneo la ku file pdf system imeweka wazi..

Penye kutaka Cover letter imeweka.. Letter imeweka,, birth certificate imeweka..wewe hiyo ya transcript umeipata wapi?
 
Back
Top Bottom