Kanye2016
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,904
- 3,006
- Thread starter
- #201
Nadhani wale wa TRAS 4.1 kama TMO II Mshahara wao unaanzia 2,470,000 BasicHivi TRA salary ni sh ngapi?
Kwa hizi entry level.
Na wale wa TRAS 3.1 Kama Custom Assistant II ni 1,875,000 Basic
Nyengine watu wataongezea au kama nimekosea watarekebisha.