TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu Usaili (Interview) Za TRA

Mkuu naomba nisaidie kwenye kutengeneza password kila nikijaribu inashindikana
 
Nashindwa kuelewa kwenye huu mfumo

Personal informations nimejaza zinejisave vizuri tu
Balaa linaanzia hapa kwenye Academic qualifications kila nikiweka taarifa nikitoka nikirudi nakuta hamna kitu ,, nikiweka nikienda kipengele kingine nikirudi hamna kitu
Jamani msaada nifanyaje niweze kusave taarifa zangu kwenye hichi kipengere
 
Bila connection hutoboi
 
Unataftiwa timming ya kumbwato πŸ˜‚ huyo wakala wa Veggies atakupasulia mayai na kukuacha kwenye mataa ya Salender Bridge. Jimix by Yas ujae kwenye mfumo wa mjumbe wa kamati😁
😹😹😹 cazee mbona umeumia sana hutaki shemeji 🀣

Huyu anafanya kweli mwenyewe down town kitambo, album haizinduliwi mpk niingie mjengoni..!!
 
We dada nilikua nakuona mtu wa maana kwenye jukwaaa kumbe ni mpumbavu kabisa inawezekana una elimu ndogo.

Watu wanakula vitengo mpaka wizara za fedha bila connection watoto wa makapuku kabisa. Wewe hapo unaoenea wivu wenzio walio na vyeti
We kibuyu kweli kwahiyo kazi yako humu kufatilia nani wa maana na nani sio wa maana unalipwa?? 😹😹
Ushajiuliza wale vyeti fake walipataje ajira serikalini?? Kiazi kweli wewe..!!

Sikiza we taahira hii sirudii tena, β€œTRA KAMA HUNA CONNECTION SAHAU KUPATA KAZI”
Hiyo uwe unapenda au hupendi, habari ndio hiyo.!!
 
Kweli zinazoumia ni sehemu za siri aloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…