Kmmk yaan napata uchungu mno mkuu hao wako wapi mkuu nienda kucheki taeri ya kubwa hz illa safari hi nitawazingua kuwa naenda kuwashtaki kwa kunipa risit isiyo halali lzm nienda nikawazingue mnk nahitaji taeri kumi za scaniaa 114c -420Na kuna wachina pia wako mikocheni wanajiita Hiview international co ltd,hawa wanauza matairi ya magari ya kichina.na wenyewe ukienda pale kwao wanakuuliza live kabisa kama unataka bei ya risiti au isiyo na risiti.
Mpaka unajiuliza inakuwaje nchi yetu inachezewa na hawa wageni kiasi hiki?
Hao washamba waliingia kiboya kwenye hili soko,tumeishia kuwapiga tu.Hao nawajua, hiyo ndiyo michezo yao ya kila siku.kariakoo nzima wanajulikana.huwa tunawaita shamba la bibi.boss wao ni jamaa flani tulikua nae superdoll anaitwa Katambi sijui kama bado yuko nao mpaka leo.
Wee mjinga kweli ndio unaona Ni sawa kuibwa na wahindi eeh au wanakubandua nn mkuu acha kuwatetea majizi na wezi Kama una maslai nao Seema Ila wambie walipe Kodi saa wanakubackfire waambie walipe KodiHao Wahindi ni Generation ya tano wako hapa na kwa taarifa yako neno "DUKA" tumefundishwa na Wahindi acha chuki zisizoleta tija kwenye Jamii iliyostaarabika.
Hpn mkuu uwe na huruma hara kidg na taifa hili himiza ulipaji Kodi na dai risiti halalliNaweza kudai risti baada ya manunuzi kama ntaona kabisa kwamba hiyo hela inayopatikana inakwenda kupunguza matatizo yangu ama inakwenda kuliwa tu hovyo hovyo na wengine.
Jibu nitakalopata ndilo litanifanya nidai risiti ama niachane nayo ili nipate punguzo. Ukitaka kupata dawa ya hii tatizo unaanzia mbali mno tangu namna viongozi wanavyopatikana ambao wanakwenda kutupangia bajeti baada ya mimi kulipa kodi.
Kama sijaridhika na hilo zoezi basi pia sintaridhika na wapanga bajeti hence sioni haya ya kulipa kodi endapo nitapata mwanya wa kukwepa.
Kwa hiyo mjadala wetu ndio umefikia huku?Wee mjinga kweli ndio unaona Ni sawa kuibwa na wahindi eeh au wanakubandua nn mkuu acha kuwatetea majizi na wezi Kama una maslai nao Seema Ila wambie walipe Kodi saa wanakubackfire waambie walipe Kodi
Aliyeiba kodi hapo ni wewe, kwanini ulipe 180k kwa bidhaa ya 230k?Mkuuu huna ushaidi taifa hili Ni duni Kodi zilipwe jmn mm binafi nimechukuwa kwa Bei ya pungufu ila siajapenda walai mm wakupewa risiti ya elf 50 mm kwa Mali ya 230000
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani
Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.
Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.
The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?
Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.
TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.
Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
Wazalendo siku hizi tunaitwa Sukuma Gang!Habari za muda,

Huo umri wako hauna maana kama unachochoe ukwepaji kodi na wageni sijapenda broo umeniuudhi sana had kukutolea lugh ya matusi ila niwie radhi ila badilika tulipambanie taifa hiliKwa hiyo mjadala wetu ndio umefikia huku?
Wewe umezliwa 1977 ni Mtu mzima sana ongea Facts acha kuvunjia Watu heshima zao.
Wako mikocheni hao,sehemu inaitwa njiapaanda ya kwa mawaziriKmmk yaan napata uchungu mno mkuu hao wako wapi mkuu nienda kucheki taeri ya kubwa hz illa safari hi nitawazingua kuwa naenda kuwashtaki kwa kunipa risit isiyo halali lzm nienda nikawazingue mnk nahitaji taeri kumi za scaniaa 114c -420
Tunaibiwa HV HV na tunaona na vyombo vipo
Unajifanya unajali wakati walio juu hawaijali hatma ya Tanzania!!!Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani
Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.
Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.
The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?
Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.
TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.
Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
Wahindi wanini? ungana na viongozi wa taifa hili kutafuna nchiKwa hyo mkuu unasemaje niungane na wahindi kulididimiza Zaid
Upo sahihiUnajifanya unajali wakati walio juu hawaijali hatma ya Tanzania!!!
Jana tumeambiwa wanaleta vichwa mtumba vya treni ya kisasa huku wakisubiri vipya vitakavyo wasili 2023,, kuna haraka gan ya kununua hiyo mitumba kama vipya vitawasili 2023 ? Kama sio upigaji hapo ni nini? Walio juu hawajali ww unajali nn?
Kama waliojuu wamekubali kuwapa ardhi wageni kwa kisingizio cha uwekazaji na kuwafurusha wenye ardhi yao kisa pesa ww unajali nn?
Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi yanafanywa na tuliowaamini watuongoze na hawajali, kwann sisi tujali?
Mwisho nisema fanya mambo yako acha umbea
Sio Wahindi tuu wanaofanya hayo na jambo hilo sio la TRA bali wazalendo wote..Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani
Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.
Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.
The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?
Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.
TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.
Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
Wametoa kivip? Wanajua kwamba hivyo ndivyo inafanyika na hata Waziri alisema Bungeni lakini TRA hawawezi kuwepo kila duka,ndio maana mimi naona kuwe TRA na Polisi wawe wanakagua risiti za bidhaa xinazosafirishwa.TRA ndo wametoa hiyo ruhusa ndugu. Siyo kwamba hawajui!
Anza na serikali kwanza ikikaa sawa ndo wahindi watakaa sawa.Kwa hyo mkuu unasemaje niungane na wahindi kulididimiza Zaid