DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe acha porojo za kitoto,hakuna Mfanyabiashara anapenda kulipa Kodi,by the way yeye sio mlipa Kodi bali mnunuzi ndio mlipaji ila anataka akupige wewe mnunuzi na Kodi ya serikali asipeleke.
 
Hapo anaetakiwa kulipa kodi ni mwananchi. Yan mtumiaji wa hiyo bidhaaa.kwa mfano muhindi akikuuzia kwa 230.000 hiyo 50000 inaenda kama tax ambayo unatoa ww...ila serikali kweli imeshindwa kushinikiza kila duka kuwa na mashine kwa ajili ya kulipa kodi....ila watanzania tumezoea ujanja ujanja..

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kazi gani unaweza kama umeona Hilo Jambo umekimbilia huku ..huku ndo TRA?
 
Kulipa kodi ni lazima na ni wajibu wa kila mtu
Hao wanaopiga kelele hivyo utakutwa wanalindwa na mtu juu Ndio maana anaongea kwa kujiamini
Muhindi muoga sana sasa kwa kauli hizo anajiamini kwa nguvu nyuma yake

Kamata Paka hao
 
Kulipa kodi ni lazima na ni wajibu wa kila mtu
Hao wanaopiga kelele hivyo utakutwa wanalindwa na mtu juu Ndio maana anaongea kwa kujiamini
Muhindi muoga sana sasa kwa kauli hizo anajiamini kwa nguvu nyuma yake

Kamata Paka hao
Hakuna cha mtu wa kulinda kwenye kukiuka sheria,ni uzembe tuu wa serikali.
 
HII SIO TAARIFA NGENI KWAO,
TENA VITABU VYAO VYA MAHESABU YA MWAKA HAVINA MAKOSA KABISA
WATUMISHI WA MAMLAKA NDIO WAKO MSTALI WA MBELE KUTOA TAARIFA ZA UPIGAJI.
KWENYE ZAMA HIZI ZA MSWAHILI MADARAKANI. "UPIGAJI NI UZALENDO''

UKIWEZA NA UKIWA NA NAFASI NAWE FANYA UPIGAJI.
 
Mbona sasa hamji na mapendekezo ya mfumo rafiki na Bora?
 
Watakwambia kazikwe nae Chato 😀😀😀
K
 
Ningekushauri uanzishe biashara ufanye alafu uone wewe ungefanyaje!

Lakini kitu usichokifanya huwezi kukielewa na kukitolea maelezo
Kulipa Kodi ni lazima,mimi muuza mitungi ya gas aliniambia mtungi wa kg 15 kubadilisha ni 55,000 nikasema mbona hiyo Bei haipo sokoni akasema nimpe 52,000 ila risiti aandike pungufu ya Bei hiyo na akaniuliza aandike kiasi gani? Nikamwambia 50,000..
 
Mkuu acha kashfa mm siyo mbeaa mkuu mm najitambua ila tupinge kwa vikali ukwepaji kodi unaofanywa na wageni hasa wachina na wahind ni watu wapumbagu sna
 
Wahindi wanini? ungana na viongozi wa taifa hili kutafuna nchi
Sas mm siwezi kuibia taifa mkuu wla kulidididmiza mam anakozea san ila ndio hvyo serekali yake yote iko mfukoni na remoti ipo siyo mbali na iliko ikuku
 
Licha ya usawa, wewe unalipa kodi wenzio wanagawana hela za kodi kwa mabilioni halafu hawafanywi kitu zaidi ya kusikia porojo za ufisadi huku mamlaka zikijifanya zimeweka maskio pamba au noise cancelling headphones
 
TRA ndo wametoa hiyo ruhusa ndugu. Siyo kwamba hawajui!
Kweli mzee hili linahusika vip mkurugeniz wa mlipa kodi na elimu ni nani sashv

Inamamana kidao hajui yabayoendeleea
 
Kwa hyo maafisa wa tra hajielewi na hawaelewi bei z abidha iko vip na kwanan wakubali kuoneshwa risit ya elf 50 wakt uhakisia wa mzigo ni laki 230000 siyo sawaa tutapamban sna hadi mwisho
 
Wee mjinga kweli ndio unaona Ni sawa kuibwa na wahindi eeh au wanakubandua nn mkuu acha kuwatetea majizi na wezi Kama una maslai nao Seema Ila wambie walipe Kodi saa wanakubackfire waambie walipe Kodi
Jibu hoja, acha matusi. Unapoteza sifa za kuendelea kujibiwa, unaonekana mwehu.
 
Mkuu acha kashfa mm siyo mbeaa mkuu mm najitambua ila tupinge kwa vikali ukwepaji kodi unaofanywa na wageni hasa wachina na wahind ni watu wapumbagu sna
Sio tuu wageni hata wewe hapo ukikwepa Kodi ushughulikiwe,hiyo Michezo Sio ya wageni pekee..

Tanzania hii inakosa udhibiti tuu ila pesa ni nyingi sana,tunaweza kupunguza madeni kwa nusu kwa kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato.
 
Wazo zuri sema sasa kina mwigulu hawapo taayari kukubali kuwa serekali au wizara imemshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…