TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

Mahitaji ya pesa siku zote hayapungui. Kila anapokwenda anapewa mzigo wa mahitaji na yote ni ya muhimu.

Halafu anakuja Ndugai anaropoka pumba tu. Uongozi ni kama jalala unataka uvumilivu mkubwa sana.
 
Tatizo unafikia conclusion on a myopic view

FYI haondoki mtu
And we can all have a goodnight today
Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!
 
Mahitaji ya pesa siku zote hayapungui. Kila anapokwenda anapewa mzigo wa mahitaji na yote ni ya muhimu.

Halafu anakuja Ndugai anaropoka pumba tu. Uongozi ni kama jalala unataka uvumilivu mkubwa sana.
Kakopa nyingi na zote zimeelekezwa kwenye madarasa na madawati na Zanzibar; lakini SGR, Rufiji nk. hazijaambulia hata mia, na kakopa bilaruhusa ya bunge, tunabebeshana madeni kijinga, hilo deni walipe Zenj wenyewe
 
Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!
Una akili timamu kweli wewe? Niliweka hapa matumizi ya mikopo sijui hukuona au chuki zako kwa Samia?
 
Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!
Utajuaje justification and ur not on the inside??

Njoo na data..otherwise we both wasting each others time
Nb:am js a layman as well
 
Bro samahani, WEWE NI KICHAA, bora goli la mzee wako angeliachia chooni. Arguments za kitoto na kishabiki sana, ama ni MSUKUMA au ulikuwa mnufaika wa MAGUFULI now unakula joto la jiwe.
Kichaa ni kuita mtu kichaa bila hoja
 
Utajuaje justification and ur not on the inside??

Njoo na data..otherwise we both wasting each others time
Nb:am js a layman as well
Data ni kwamba tumekopa trillion 10, kati ya hizo ,SGR , Rufiji, hazijapata hata senti.
 
Kakopa nyingi na zote zimeelekezwa kwenye madarasa na madawati na Zanzibar; lakini SGR, Rufiji nk. hazijaambulia hata mia, na kakopa bilaruhusa ya bunge, tunabebeshana madeni kijinga, hilo deni walipe Zenj wenyewe
Umeandika kama vile una uhakika kumbe ni umbeya tu wa mitandaoni haswa whatsapp.
 
How do you define illiteracy?! Ni Nani amesema data zisiwepo?! Huelewi hata interpretation ya maandiko ya wenzio? Who is illiterate then? Kumwambia mtu atoe ufafanuzi in a simple language Kuna ubaya gani?!
 
Ss wapeleke wkt tyr kuna mikopo mingine huko?.!
Ndo mana nkakwambia huna data
Sasa si ndio nikasema tuachana na masuala ya kukopa, tulioe kwanza hii ambayo tumeshaingizwa mkenge, wewe ukasema tena eti tutaachaje kukopa kwa ajili ya miradi ya kimkakati, ukasema sina data, ndio nimekupa hizo data kwamba trillion 8 tulizokopa hazikuwa za miradi ya kimkakakati.., legeza ubongo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…