The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Unajifariji tuu 😆😆Lakini mitambo tunayo test unaiona au uoni juzi tulimtumia ndugai kutest bado waziri mkuu kutest mitambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifariji tuu 😆😆Lakini mitambo tunayo test unaiona au uoni juzi tulimtumia ndugai kutest bado waziri mkuu kutest mitambo
Mahitaji ya pesa siku zote hayapungui. Kila anapokwenda anapewa mzigo wa mahitaji na yote ni ya muhimu.Katika dollar bilioni 3 alizokopa mama hakuna hata senti imeenda kwenye mpango mkakati, zote zimeenda kwenye madawati, madarasa, na zingine kapeleka Zanzibar..., bila kusahau, kuna tozo ya miamala around 100bn kwa mwezi tunakatwa kwa ajili ya madarassa, madawati na Zahanati, bila kusahau, kakopa pesa za Covid19, trillion mbili nazo ni kwa ajili ya madarasa na madawati. Hili itabidi liondoke na mtu, haiwezekani!
Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!Tatizo unafikia conclusion on a myopic view
FYI haondoki mtu
And we can all have a goodnight today
Kakopa nyingi na zote zimeelekezwa kwenye madarasa na madawati na Zanzibar; lakini SGR, Rufiji nk. hazijaambulia hata mia, na kakopa bilaruhusa ya bunge, tunabebeshana madeni kijinga, hilo deni walipe Zenj wenyeweMahitaji ya pesa siku zote hayapungui. Kila anapokwenda anapewa mzigo wa mahitaji na yote ni ya muhimu.
Halafu anakuja Ndugai anaropoka pumba tu. Uongozi ni kama jalala unataka uvumilivu mkubwa sana.
Una akili timamu kweli wewe? Niliweka hapa matumizi ya mikopo sijui hukuona au chuki zako kwa Samia?Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!
Sasa unategemea umjibu mtu mwingine mimi nione? Nijibu mimi kwa kuweka nione, then tuendeleeUna akili timamu kweli wewe? Niliweka hapa matumizi ya mikopo sijui hukuona au chuki zako kwa Samia?
Bro samahani, WEWE NI KICHAA, bora goli la mzee wako angeliachia chooni. Arguments za kitoto na kishabiki sana, ama ni MSUKUMA au ulikuwa mnufaika wa MAGUFULI now unakula joto la jiwe.Sasa unategemea umjibu mtu mwingine mimi nione? Nijibu mimi kwa kuweka nione, then tuendelee
Huyo mimi nimempuuza rasmi,ni anasumbuliwa na Chuki kwa Samia.Bro samahani, WEWE NI KICHAA, bora goli la mzee wako angeliachia chooni. Arguments za kitoto na kishabiki sana, ama ni MSUKUMA au ulikuwa mnufaika wa MAGUFULI now unakula joto la jiwe.
Utajuaje justification and ur not on the inside??Myopic view bila kujibu hoja ni ujinga tu, jibu hoja hiyo, karibu trillion 10 unakopa na hakuna hata thumni imeenda kwenye miradi ya kimkakati, si utaahira huu?!
Kichaa ni kuita mtu kichaa bila hojaBro samahani, WEWE NI KICHAA, bora goli la mzee wako angeliachia chooni. Arguments za kitoto na kishabiki sana, ama ni MSUKUMA au ulikuwa mnufaika wa MAGUFULI now unakula joto la jiwe.
Data ni kwamba tumekopa trillion 10, kati ya hizo ,SGR , Rufiji, hazijapata hata senti.Utajuaje justification and ur not on the inside??
Njoo na data..otherwise we both wasting each others time
Nb:am js a layman as well
Umeandika kama vile una uhakika kumbe ni umbeya tu wa mitandaoni haswa whatsapp.Kakopa nyingi na zote zimeelekezwa kwenye madarasa na madawati na Zanzibar; lakini SGR, Rufiji nk. hazijaambulia hata mia, na kakopa bilaruhusa ya bunge, tunabebeshana madeni kijinga, hilo deni walipe Zenj wenyewe
Dhihirisha umbea huu kwa kuweka taarifa zisizo za umbeaUmeandika kama vile una uhakika kumbe ni umbeya tu wa mitandaoni haswa whatsapp.
Ss wapeleke wkt tyr kuna mikopo mingine huko?.!Data ni kwamba tumekopa trillion 10, kati ya hizo ,SGR , Rufiji, hazijapata hata senti.
How do you define illiteracy?! Ni Nani amesema data zisiwepo?! Huelewi hata interpretation ya maandiko ya wenzio? Who is illiterate then? Kumwambia mtu atoe ufafanuzi in a simple language Kuna ubaya gani?!Ur level of illiteracy is shocking!
Unasema asiweke data yet atoe majibu
Unadhani public debt is simple hivyo?
Hizo data kakupa in the very simplest terms zinazotolewa kwa mwananchi walau apate picha in a nutshell
Ukipewa details utakufa wewe kama screenshot 2 zinakutoa roho
Cc The Sunk Cost Fallacy achana na vilaza hawa
Sasa si ndio nikasema tuachana na masuala ya kukopa, tulioe kwanza hii ambayo tumeshaingizwa mkenge, wewe ukasema tena eti tutaachaje kukopa kwa ajili ya miradi ya kimkakati, ukasema sina data, ndio nimekupa hizo data kwamba trillion 8 tulizokopa hazikuwa za miradi ya kimkakakati.., legeza ubongo kidogoSs wapeleke wkt tyr kuna mikopo mingine huko?.!
Ndo mana nkakwambia huna data
Kazi kubwa inafanyika nchi nzima na pesa inapokwenda kote inajulikana. Mnaanzisha majungu baada ya kifo cha JPM.Dhihirisha umbea huu kwa kuweka taarifa zisizo za umbea