Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Bei ya gari huangaliwa ikiwa mpya.... then mahesabu ya depriciation hufuata... HATA UKIPEWA BURE, KODI UTALIPA... Gari ya mwaka gani? Brand gani? Ikiwa mpya inauzwa shilingi ngapi? Bei ya sasa ni shilingi ngapi? CC ngapi?Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Kipo cha Nyumbu kinatengeneza ya jeshi ila hawayauzi.Hakuna kiwanda cha magari bongo lkn tozo ya magari imeegemea misingi ya protectionism
Kama wanaona magari ni anasa mbona wao (wanasiasa wa Ccm) hawaachi kutumia hizo anasa?Kuna watu mmekaririshwa uchakavu nawaambia hivi hiyo wala sio sababu ila serikali ya ccm ya ccm inachukulia kuwa na gari ni anasa na pia njia ya uhakika kukusanya kodi
Toleo la ngapi hili?Kuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Mkuu shule kweli umesoma?State of demand and appropriate task, overfull demand- discarage customers, walisema tuna barabara chache kwahiyo wakiweka ushuru wa chini mtanunua sana magari,
Mkuu ulishawahi kufanya huu mchakato? Appeal unaifanya gari ikiwa wapi? Maana gari ikipakiwa kwenye meli na ukatumiwa documents za gari unatakiwa ufanye pre arrival declaration ikifika gari kwenye ukaguzi ndo wanai uplift hapo mpaka ujibiwe appeal yako storage ya TPA imeshaongezekaUnaweza ku appeal Kama una karatasi halali za ununuzi wa gari. Tax base wanayoitumia tra ndio inafanya Bei kuwa kubwa so Kama Bei ya gari yaani invoice price plus freight Ni ndogo kuliko tax base waliyotumia kwenye kikokotozi unanafasi ya kuappleal
Hawana ubunifu kwenye vyanzo vya mapatoHakuna kiwanda cha magari bongo lkn tozo ya magari imeegemea misingi ya protectionism
Hili gari sidhan hata kama lina breakKuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Mrembo wetu wa jf kale kaist kako ulikanunuaga shilling ngap vile[emoji2]Uchakavu mzee baba
Achananeni nazo,komaeni na B4 za mwaka 2004Nenda kaangalie Subaru Legacy BM9 ya 2009/2010/2011/2012 uone gari ni $3500-5000 ushuru wake ni 22,000,000-25,000,000 mzee
Toleo nadhan ni moja hilo hilo hakunaga new modelToleo la ngapi hili?
Kama waundaji wa magari walianza na matela ya kukokotwa na farasi, huoni sisi hio ni hatua nzuri?Hili gari sidhan hata kama lina break
Khaaaaaa...Kuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Ushuru ni Mkubwa kuliko hata gharama za kuzalisha gari kiwandani.Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Kuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Hawataki wengi wamiliki magari.Unapoambiwa "Afrika ni nchi masikini" huo umasikini ni pamoja na umasikini wa akili!
Nenda kwenye point wewe bwege, shule ipi unayoulizia?Mkuu shule kweli umesoma?