TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Wananchi wamechoka na huu utekaji. Ona sasa kijana wa watu ameuwawa bure kwasababu wa wapuuz wanaoteka raia. Rais inabidi achukue notes apa achukue hatua
 
Na iwe angalau mchana basi. Tatizo vyombo vyote vya serikali vya Tanzania vinafanya kazi kwa kutumia ubabe na kuvizia. Na ukichunguza sana, hawa hata kama ni TRA wa kweli utakuta walikuwa wanafukizia deal ili wahongwe wapate fedha za kutumia weekend.
 
Sio kweli,kama wangejua kuwa wale ni TRA wasingefanya kitendo kile.
Mi nadhani wananchi wameanza kujihami na matukio ya utekaji unaopelekea watu wanaumizwa na kuuwawa ama kupotezwa kabisa.
Hawajui ni nani yuko nyuma ya hili.
 
HAO WATEKAJI WENGNE WATAKUFA LINI MUHIMBILI?TRA MSITUMIKE OVYO.HAO NI WATEKAJI
 
Hao mbons rahisi ytuu....basi tuu tunajichelewesha wenyewe
Mkuu ingekuwa rahisi Kama unavyosema wangeshakamatwa na wangeacha siku nyingi. Ila kwa sababu Yana baraka ya wanaopanga nani aishi na nani tumuuwe ndiyo maana yanaendelea na yataendelea sana. Ila hii njia walioamua raia ndiyo njia sahihi iliyobaki. Misiba ikiwa pande zote mbili za watekwaji na watekaji watakaa kwenye vikao vyao kukubaliana kuacha.
 
Mlitaka wenyewe afe, jsribuni kusoma hali halisi ya wananchi na matukio, ama mmejifubgia sana kwenye ma AC hamjui kinachoendelea?
 
Hili nalo neno....hapa ni mwendo wa jino kwa jino au sio
 
Naomba hii comment iwe ya kufungia mwaka 2024. Superb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…