Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Hakuna MwanaJF aliyekuwa Tegeta au Dactari walikopokelewa majeruhi aseme kama walikuwa na sare za TRA Tanzania ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na iwe angalau mchana basi. Tatizo vyombo vyote vya serikali vya Tanzania vinafanya kazi kwa kutumia ubabe na kuvizia. Na ukichunguza sana, hawa hata kama ni TRA wa kweli utakuta walikuwa wanafukizia deal ili wahongwe wapate fedha za kutumia weekend.Ndiyo walewale, wangefanikiwa kumteka huyo mmiliki wa X6 ungesikia ni wasiojulikana. Muuaji kauawa so it's all well and good, people are bloody tired with these murderers.
Hiyo spin mliyokuja nayo eti ni TRA employee you know what? I don't buy that shit, go and tell it to the birds.
NB: Operation za TRA zinapaswa kuwa na escort ya polisi waliovaa sare rasmi, ndiyo sheria ilivyo otherwise ni yaleyale majambazi AKA wasiojulikana.
Sio kweli,kama wangejua kuwa wale ni TRA wasingefanya kitendo kile.Hii ni kusudi tu
Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza
Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo
Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha
Sasa rungu liwafikie wote waliohusika
Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele
Shenz type
Una uhakika ni Tiaraeii??TRA already learn in a hard way.
sasa tunasubiri hawa polisi wanaokuja kichwakichwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bibi chaudere sura ya 9:3-9 Kifo ni kifo tuu 😎😎
HakikaZa chini chini sio mtumishi wa tra,ni moja ya wasiojulikana bt tra wametumika kucover.
Mkuu utafungwa bila kesi number. Manake hao majamaa wamedata sshvHicho kijambio kinatoa harufu chafu sana nchini mwetu
Walikuwa wanafatilia rushwa wale hakuna kingine. Alafu rushwa ukiifosi lazima ikujambie usoniGari ina address zote kwenye usajiri kwa nini wasitume taarifa kwenye kitengo cha magari kujua linapotoka hata simu ipo kwenye mtandao wao walikua wanatafuta kifo hao.
Tuna anza walipo ishia.One should perish for the benefit of the majority.hapa wasiojulikana wataogopa sasa
Tunaanza 0-0
Siwezi kutoa pole
Mkuu ingekuwa rahisi Kama unavyosema wangeshakamatwa na wangeacha siku nyingi. Ila kwa sababu Yana baraka ya wanaopanga nani aishi na nani tumuuwe ndiyo maana yanaendelea na yataendelea sana. Ila hii njia walioamua raia ndiyo njia sahihi iliyobaki. Misiba ikiwa pande zote mbili za watekwaji na watekaji watakaa kwenye vikao vyao kukubaliana kuacha.Hao mbons rahisi ytuu....basi tuu tunajichelewesha wenyewe
Mlitaka wenyewe afe, jsribuni kusoma hali halisi ya wananchi na matukio, ama mmejifubgia sana kwenye ma AC hamjui kinachoendelea?View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Hili nalo neno....hapa ni mwendo wa jino kwa jino au sioMkuu ingekuwa rahisi Kama unavyosema wangeshakamatwa na wangeacha siku nyingi. Ila kwa sababu Yana baraka ya wanaopanga nani aishi na nani tumuuwe ndiyo maana yanaendelea na yataendelea sana. Ila hii njia walioamua raia ndiyo njia sahihi iliyobaki. Misiba ikiwa pande zote mbili za watekwaji na watekaji watakaa kwenye vikao vyao kukubaliana kuacha.
Tanzania wakitaka rushwa wanaangalia aina ya gari analoendesha mtoa rushwa wakiamua wanamtafutia kesi yeyote kwenye TIN..Walikuwa wanafatilia rushwa wale hakuna kingine. Alafu rushwa ukiifosi lazima ikujambie usoni
Naomba hii comment iwe ya kufungia mwaka 2024. SuperbMkuu ingekuwa rahisi Kama unavyosema wangeshakamatwa na wangeacha siku nyingi. Ila kwa sababu Yana baraka ya wanaopanga nani aishi na nani tumuuwe ndiyo maana yanaendelea na yataendelea sana. Ila hii njia walioamua raia ndiyo njia sahihi iliyobaki. Misiba ikiwa pande zote mbili za watekwaji na watekaji watakaa kwenye vikao vyao kukubaliana kuacha.
Hawakua na sare Wala vitambulishoHakuna MwanaJF aliyekuwa Tegeta au Dactari walikopokelewa majeruhi aseme kama walikuwa na sare za TRA Tanzania ?