TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Nchi haiendi Kwa kuunga doti ndio ttzo lilipo,utekaji imekua habari inayowapa wananchi wasiwasi mkubwa sana,chochote wasichokielewa wanajua ndio walewale,wawape semina vijana,ikifika saa 11 km mpo bila polisi hio kazi acha Kwa usalama wawafanya kazi,mbaya zaidi wachache ndio wanapatikana na hatia huku mambo yakijirudia,hapa ndio changamoto ilipo.
TRA mjitafakari,mnafanya kazi kubwa sana but you guys need to be smart Kwa mazingira yalivyo sasa msichukulie Poa tu mtaani wasiwasi ni mkubwa sana
 
Hawa Task force ya TRA ndio walewale wasiojulikana ni mixer ya vibaka wa polisi ,TISS na wafanyakazi wa TRA ,walitumikia sana enzi za Magufuli kubambikizia kesi za uhujumu uchumi na kufanya extortion Kwa wafanyabishara na watu wengine wapinzani na watu waliochukua na regime ya ccm kipindi kile ,hawa ni majambazi wale wake wanaotumiwa na ccm kukomesha raia , walipora sana na kutaifisha pesa enzi za Magufuli na hata sasa hili kundi halijapotea bado lipo ,wanafanya kazi chafu za ccm .
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Naona watu wanaenda kula kitanzi kweupee kwa kutafuta sifa za kishamba
 
Hii ni kusudi tu

Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza

Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo

Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha

Sasa rungu liwafikie wote waliohusika

Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele

Shenz type
Sasa unamtukana nani.
 
Watu wamechoka huu usenge , majitu yanashindwa kufanya standard operation procedures za kazi zao kisheria ,yanaoperate kama magenge ya wahalifu , kuvizia na kuteka watu , huu ni upuuzi na watu wanachoka .
we kama unataka kumkamata mtu njoo na uniform za polisi na warranty ya judge au mahakama na ukiwa na kitambulisho kama polisi na si huu ushenzi unaondelea humu Bongo sasa hivi .
Huu ni upumbavu
 
Back
Top Bottom