MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hili ndio kubwa.... mzee wangu mmoja alikuwa anapenda kusema, "dhoruba ikianza, funga madirisha"Apumzike kwa amani.. siku nyingine msome alama za nyakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio kubwa.... mzee wangu mmoja alikuwa anapenda kusema, "dhoruba ikianza, funga madirisha"Apumzike kwa amani.. siku nyingine msome alama za nyakati
Nchi haiendi Kwa kuunga doti ndio ttzo lilipo,utekaji imekua habari inayowapa wananchi wasiwasi mkubwa sana,chochote wasichokielewa wanajua ndio walewale,wawape semina vijana,ikifika saa 11 km mpo bila polisi hio kazi acha Kwa usalama wawafanya kazi,mbaya zaidi wachache ndio wanapatikana na hatia huku mambo yakijirudia,hapa ndio changamoto ilipo.View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Naona watu wanaenda kula kitanzi kweupee kwa kutafuta sifa za kishambaView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Ni murder mkuu.Murder kivipi kwani walitoka nyumbani wakikusudia kuua
Unasomoeka jela wote katika hilo eneo lazima watamtaja muhusika mkuu huyo ndio unakufa naeunamkamata nani wa kumpa kesi sasa?
You are quiet sure !Narudia kusema Ben saanane, Soka etc warudishwe na waombwe msamaha.
I am a very poor common citizen, ila huko mbele ya safari kuna ugumu
Watakufa wengi wa serikalini nawaambia
Sasa unamtukana nani.Hii ni kusudi tu
Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza
Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo
Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha
Sasa rungu liwafikie wote waliohusika
Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele
Shenz type
I wish utekwe wewe.Two wrongs don't make it right. Waliohusika washughulikiwe. Apumzike kwa amani