TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Mtumishi wa TRA aitwaye Amani Kamguna Simbayao ambaye amefariki mchana wa leo December 06,2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambulio akiwa katika majukumu yake ya kikazi katika eneo la Tegeta kwa Ndevu Jijini Dar es salaam, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TRA

Taarifa ya TRA inasema Amani na wenzake wawili wa TRA walishambuliwa baada ya kubaini kwamba kuna gari namba T229 DHZ aina ya BMW X6 lililoingizwa nchini kinyemela bila kulipa kodi za Serikali kwa mujibu wa sheria na kuifuatilia kwa lengo la kuikamata ili kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria za kodi.

Sehemu ya taarifa hiyo imesema "Wakati Watumishi hao wa TRA wanatimiza wajibu wao, walihusishwa na kitendo cha utekaji, kilichopelekea wao na gari kushambuliwa",
 
Umechelewa wapi mkuu? Utapokonywa lindo TANZIA - TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024
 
Waliofanya huo uhuni ndo watajua huwa ni Polisi kweli au Policcm. Watasakwa kila kona na kufikishwa mahakamani. Na wakileta ubishi tutasikia "Marehemu alikuwa akikataa amri halali ya polisi ikabidi zitumike risasi za moto"...
 
Poleni sana Wanafamilia na Wafanyakazi wote wa Tra.
Tatizo lipo kwenye kutekana na Matumizi mabaya ya Madaraka.
Polisi samtimes huwa wanatumika Vibaya kwa maslai ya mtu binafsi aukiundi cha watu Wenye malaka hapo ndipo Tatizo lilipoanzia.
Wananchi waliowengi kwa tuki kama hili nimesona ktk mitandao wanafurahia lakini sio Jambo kufurahia maana Kuna watu ni waadilifu na wanatekeleza majukumu ya Serikali ila watu wachache wanaichafua serikali mpaka wanachi wanaamua kufanya mambo yasio stahili ktk Nchi wameua kijana ambae alikua anatekeleza majukumu take ya kazi, Wala sio mtekaji.
 
Hii ni kusudi tu

Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza

Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo

Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha

Sasa rungu liwafikie wote waliohusika

Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele

Shenz type
Nenda nao tegeta au njoo nao Tarime Kama ilivyokuwa kwa Zakaria nini kilitokea? Na huyo huyo Zakaria akaanza kutuliza watu wasiuwe.
 
Waliofanya huo uhuni ndo watajua huwa ni Polisi kweli au Policcm. Watasakwa kila kona na kufikishwa mahakamani. Na wakileta ubishi tutasikia "Marehemu alikuwa akikataa amri halali ya polisi ikabidi zitumike risasi za moto"...
Au siyo?. Kumbe mnajijua mnawatuma kuuwa. Huu utekaji wenu bado madhara yake mtayaona baadaye siyo Sasa hivi. Atakuja kuuliwa mtu wenu muhimu sana ndiyo mtaelewa wananchi wamechoka kiasi gani.
 
Sema pia wanasema yule jamaa walisema afisa kipenyo wa tukio la masaki aliyempiga mtu na kitako Cha bunduki baaadaye wakasema ni afisa mapato!!! Sasa inakuwa shida kutambua yupiyupi in tinted landcruiser!!!!!
Ndio matokeo ya kuajiri wahuni..njia zote kumkamata mchana ilishindikana mnamtafuta uck..hayo sasa matokeo!
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Poleni sana kwa wakusanya mapato natumaini watu hujifunza kutokana na makosa watanzania ni wastaarabu sana watiifu kwa serikali yao!
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Pole familia but ni kifo Cha kujitakia.
Tangu Lini mna mamlaka ya kukamata magendo bila polisi?
 
Back
Top Bottom