TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Mimi nasema kabisa nimeanza kukwepa kodi vizuri sana.Hii nchi ukiwa mtu wa haki, ukatimiza wajibu wako et kwa kuwa mzalendo...kumbe kuna upande wa pili wanapiga tu hizi pesa, either kwa matumizi mabovu ya serikali...n.k.
 
Hamna kitu mzee..polisi bado sana...maisha magumu
 
Siyo watu wote wezi Mkuu.
Wengine shetani hajawashika kwenye wizi,,,labda kama madhaifu mengine lakini siyo wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli kabsa na ndio maana wanasiasa wamefanya juu chini kurudisha ajirahuko kwao ili wawekane

Shemzi typu
 
Nina kijana alikuwa akifanya kazi kwangu mwaka juzi aliajiriwa ni miaka miwili sasa lakini keshajenga na anamiliki usafiri wa millioni 250
Wewe ni kaka mkandarasi kama sikosei , vipi unaendeleaje, Kuna wakati ulitisimulia Mapito yako mazito hapa jukwaani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…