Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nafuatilia kwa karibu kila kitu humuLucas mwashambwa njoo hapa. Usipite kimya kimya kama unaaga marehemu....na hili peleka.
Sio kila uchao nyie ni mapambio tu.
Amkeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafuatilia kwa karibu kila kitu humuLucas mwashambwa njoo hapa. Usipite kimya kimya kama unaaga marehemu....na hili peleka.
Sio kila uchao nyie ni mapambio tu.
Amkeni!
Mmae!Nimeghairi kuleta Gari safari hii ingawa £ imeshuka
Nimeangalia ushuru Tsh 65m
Wakati bei ni £7000 bado usafiri halafu 65 zinasubiriwa
Kwa kweli watuambie tu magari yote yatakuwa yanaletwa na wakala tu tujue moja na waache unafiki wa kuficha ukweli
Yani TRA wanapata hela nyingi kuliko alietengenezaNilinunua gari 13m kutoka japan 2019. Ushuru wa hapa pamoja na usajili nikalipa 17m....[emoji57]
Nilinunua gari 13m kutoka japan 2019. Ushuru wa hapa pamoja na usajili nikalipa 17m....[emoji57]
Hata ukishusha toka angani kodi ni lazima ikugonge vilivyoNi lazima kupitishia bandari ya dar?
Bandari yetu imekuwa ya kuwafaidisha warundi, wanyarwanda, wazambia, wacongo na wamalawi sisi ni kutuumiza tu. Ukieleza kuwa kodi inatakiwa iwe chini kama majirani zetu, Mwigulu anajibu kikebehi kabisa, hamieni huko Burundi.Hii nchi yetu vitu vingi unaweza kudhani vinafanyika kwa lengo la kutukomoa kabisa
Yaani kuingiza gari hapa kwetu ni kama kufanya anasa kabisa na sio usafiri
Ukiandaa 10M kuagiza kigali basi uandae 10M ya kodi, kama vile hatuna bandari yetu
Tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe
Gharama kubwa ni za ushuru (TRA) na sio za Bandari (TPA). Ushuru wa TRA ni lazima ulipwe bila kujali gari limeingia kwa njia gani (anga, maji, reli au barabara).Ni lazima kupitishia bandari ya dar?
Unaongea upuuzi TuKwa
Kwa mtizamo huu upo sahihi kiongozi yaani gari za kikazi ziwe na tax ndogo Mana zitakuwa zinafanya kazi na kurahisisha maisha Ila sio private.
Sema huko juu umeongea kwa hisia/beliefs zako so mtu akiwa na beliefs fulani Ni kazi mno kuiondoa na ku adapt nyingine.
Yaani we're hard katika behavior modifications. Mana hujui ukiongeacho hizi Ni fani za watu. Huwa Kuna research inafanyika na sio kuwa watu wanakurupuka. Unajua kuwa Kuna watu huwa wanakesha kihesabu idadi za magari zinazopita sehemu fulani kwa siku Saba za wiki mpaka mwezi mzima ama unaongea tu. Yaani Kuna kitu kinafanyika ili data fulani zipatikane ili ujenzi fulani ufanyike.
Yaani iko ivi bomba la maji haliendi tu sehemu Bali watalaamu wanajua Kuna watu wangapi so wanajua uwezo wa watu kutumia maji Ni muda gani matumizi yanakuwa makubwa ili wapeleke maji hayo yanayowatosheleza mahitaji.
Mtandao wa simu wanajua kuwa uwezo wa wateja wao kutumia signals zao unatosha sometime kunakuwa na traffic kubwa baadaye inakuwa jam or high density.
So hizi za road ziaje ishu Ni umasikini wa pesa,akili na mawazo watu wanawaza watamiliki lini v8 Ila hawakuwazii wewe Tena ujue.
Yaani kila roads zinajulikana uwezo wake ,uzito wake wa mzigo kubeba,uwongi wa gari,hata hizo roads za Kijijini mkizitembelea mno Kuna zile maintenance cost,unaona mvua ikinyesha corrugations,hizo pipe culverts ama box culverts unajua uwezo wake wa kupitisha Ni Tani ngapi.
Sasa Ni hivi vitu vyote vinakuja kwa kupiga hesabu sio Kama hizi tozo jemba anaamka anasema kuwa tukate na hela Benki ninunue hili la 560M nitembelee Mana saivi mie Nina value mno kuliko wa huko kijijini wakati jamaa majuzi tu hapa alikuwa mchunga ng'ombe Basi tu. Tuendeleze tozonia yetu.
Kwani hapa kuna ligi ya wavijijini na wa mjini...? Here we are discussing kuhusu kodi za kuingiza gari nchini. Ili tupate unafuu. Na waliomo humu sio kwamba ni wa mjini tu bossMkuu hii hoja kila ninapokutana nayo kwanza lazima nimsikitikie anayeileta kwa kuwa na ufahamu finyu sana na sababu kubwa ya huo ufinyu ni kwamba Tanzania siyo mijini kwenye lami tuu jamani!!! Watanzania hawa tunaosema wako milioni 60 (hatujui sensa itasemaje maybe milioni 70) nearly 90 % wako huko vijijini na wao pia wanahitaji magari, hata kama barabara zao ni za vumbi au changarawe. Achaneni kabisa na hii mentality ya barabara za lami huko mijini kwenye watanzania asilimia 10 jamani, acheni kabisa!!! Sasa hivi nyie watu wa mijini (asilimia 10) na mnaojidai mnamiliki magari kwa sababu huko mijini kuna lami mmeanza kulalamika kweli kweli kwa mazao kupanda bei (mchele 2500, unga 1500,maharage 3000 etc) na kwamba eti mipaka ifungwe ili mkulima asiuze mazao yake kwa bei nzuri. Haya ni maajabu kwa sababu kama una gari unashindwaje kumudu kununua chakula?? Nirudi kwenye hoja ya msingi, acheni watu wa vijijini, ambao ni wakulima, wanunue magari yao kama pick up, Fuso, trekta, guta nk kwa bei nafuu ili waweze kuzalisha mazao mengi na kuwaletea huko mjini kwa bei poa. Hayo magari ya wakulima hayahitaji lami wala nini, na kama mimi ningekuwa kwenye maamuzi basi ningepitisha sheria kwamba magari na mashine kama trekta, pick up, Fuso na nyinginezo ambazo zinachangia uzalishaji shambani vingelipiwa kodi less than 15% ya gharama ya hiyo mashine ili kila mkulima amiliki trekta, powertiler, lori/Fuso, guta, water pump, harrow, planter, spray mashine etc...
Wenye Yard wanafanya nin sasa?Hata ukishusha toka angani kodi ni lazima ikugonge vilivyo
Ndio maana hatuendeshi magari mazuri,tumekazana na vi IST tu, sababu ya mikodi mikubwa , huwa najiuliza je tusingekuwa na bandari kama Uganda, Rwanda, nk si ndio tungenyooka kabisa?Narudia kuandika tena,
Ifikie hatua muwe waelewa huwezi kujifanya una calculator ya kodi kwenye magari ambapo kodi yenyewe unatoza asilimia 80% hadi 100% ya manunuzi hii sio sawa.
Kwa mikodi yenu mikubwa ndio maana hamuwezi mkawa na walipa kodi wengi.
Mkumbuke kodi kubwa inawafanya kuathiri biashara ya mafuta kwa ujumla, biashara ya vipuri.
Hakuna sababu ya kodi asilimia 80 hadi 100 wakati ndani ya nchi hatuna uzalishaji wa magari au viwanda vya magari hakuna na kodi inakua ya kuumiza sio sawa.
Kweli mtanzania anunue gari dola 5000 kodi apigwe dola 4000 hadi 5000 halafu mtakuja na formular zenu za ajabu ajabu aibu sana hii.
Uchumi hauwezi ukakua kwa mtindo huo muelewe magari ni kifaa au chombo kinachorahisisha kuinua uchumi kwa namna moja au nyingine.
* Bandari Kuwepo Tanzania haimsaidii nafuu ya maisha mtanzania, kila bidhaa iko juu viongozi sio wabunifu wapo wapo tu.
Inatokana na mentality kwamba magari ni anasa kama ilivyokuwa kununua radio cassette miaka ya 70 na 80 wanasahau kuwa dunia imebadilika sana sasa hivi magari ni sehemu ya hitaji muhimu sana katika familiaNarudia kuandika tena,
Ifikie hatua muwe waelewa huwezi kujifanya una calculator ya kodi kwenye magari ambapo kodi yenyewe unatoza asilimia 80% hadi 100% ya manunuzi hii sio sawa.
Kwa mikodi yenu mikubwa ndio maana hamuwezi mkawa na walipa kodi wengi.
Mkumbuke kodi kubwa inawafanya kuathiri biashara ya mafuta kwa ujumla, biashara ya vipuri.
Hakuna sababu ya kodi asilimia 80 hadi 100 wakati ndani ya nchi hatuna uzalishaji wa magari au viwanda vya magari hakuna na kodi inakua ya kuumiza sio sawa.
Kweli mtanzania anunue gari dola 5000 kodi apigwe dola 4000 hadi 5000 halafu mtakuja na formular zenu za ajabu ajabu aibu sana hii.
Uchumi hauwezi ukakua kwa mtindo huo muelewe magari ni kifaa au chombo kinachorahisisha kuinua uchumi kwa namna moja au nyingine.
* Bandari Kuwepo Tanzania haimsaidii nafuu ya maisha mtanzania, kila bidhaa iko juu viongozi sio wabunifu wapo wapo tu.
Kiukweli uko sahihi Mana hata Henry Ford alisema ukisema kuwa huwezi na huyu akasema naweza wote mko sawa.
Hiyo gari ina uwezekano itakua Porsche.Nimeghairi kuleta Gari safari hii ingawa £ imeshuka
Nimeangalia ushuru Tsh 65m
Wakati bei ni £7000 bado usafiri halafu 65 zinasubiriwa
Kwa kweli watuambie tu magari yote yatakuwa yanaletwa na wakala tu tujue moja na waache unafiki wa kuficha ukweli
wanaona mkuu! mambo mengi tu yanaanziaga humu alafu wanajibu kwa sababu kila kinachosemwa ni ukweli! tusubiri tu majibu ..... tafuta fanta!Mbaya zaidi hata hili andiko hawatalisoma kwa sababu magari yao sisi walalahoi ndio huwanunulia kwa kodi zetu.