Wakati wakihangaika kuongeza tozo juu ya tozo madini ya ruby ya mamilioni yanatoroshwa wakiwa hawana habariTRA Hawana uwezo wa kubuni platforms ya vyanzo vya mapato na kuvitanua matokeo yake wanakimbilia established biz ambazo tayari zunatozwa indirect kodi kibao
Good pointTRA Hawana uwezo wa kubuni platforms ya vyanzo vya mapato na kuvitanua matokeo yake wanakimbilia established biz ambazo tayari zunatozwa indirect kodi kibao
Ajabu sana wameshindwa kutumia vema rasilimali asilia wanahangaika na viapplication vya mikononiWakati wakihangaika kuongeza tozo juu ya tozo madini ya ruby ya mamilioni yanatoroshwa wakiwa hawana habari
Zinaliwa!Hivi MBs zetu tunazonunua zinakwenda wapi?
Hiyo ni changamoto lakini tukitaka kodi iwe chanzo kikuu cha mapato lazima tutaumia zaidi. Ni wajibu wa serikali kubuni mifumo ya makusanyo nje ya kodi kwa kutengeneza sera rafiki za uwekezaji na biashara ambazo zikikua na makusanyo mbalimbali yatakua.TRA Hawana uwezo wa kubuni platforms ya vyanzo vya mapato na kuvitanua matokeo yake wanakimbilia established biz ambazo tayari zunatozwa indirect kodi kibao
Basi amebongeka aiseee mpaka nimemsahau
Hivi MBs zetu tunazonunua zinakwenda wapi?
Watanzania wengi maisha ya nchi za Ulaya hamuyawezi, mnapenda dezo dezo sana.Badala ya kubuni vyanzo vya maana wanapambana na wananchi wa mwisho
Si tunazitumia.
MatolaKwani Google na Microsoft kufunguwa ofisi Nairobi unadhani ni wajinga?
Zinaliwa!
Zinakuwa uploaded back kurudi kwenye mtandao, in exchange nawe unakuwa unapata contents tofauti kama picha, maneno, video, matangazo n.k
Sio kweli, wao ni unyonyaji kutolipa kodiSasa META akianza kuambiwa alipie Kodi si Ina maana na sisi tutaanza kuambiwa tulipie gharama za kutumia mtandao wao?
kama hawawezi wana funga tu... kwani yeye anafanya charity hizo wasapu, fesibuku sijui insta?Sasa META akianza kuambiwa alipie Kodi si Ina maana na sisi tutaanza kuambiwa tulipie gharama za kutumia mtandao wao?
bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee?hivi hizo bundles tunazonunua havilipwi kodi?
Je, hawa service providers n.k hawalipi corporate taxes?