TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp
Hii naiunga mkono. Hizi ni initiatives za muda mrefu na mjadala ulishaanza kwenye corridors za wataalam wa kodi toka awamu ya 4.

Waliofanikisha wanastahili pongezi na nishani za kitaifa ( kama zipo kwa raia) maana wataweka msingi wa mfumo wa kukusanya kodi kwenye dunia hii ya teknolojia ya mawasiliano.
 
TRA Hawana uwezo wa kubuni platforms ya vyanzo vya mapato na kuvitanua matokeo yake wanakimbilia established biz ambazo tayari zunatozwa indirect kodi kibao
Hiyo ni changamoto lakini tukitaka kodi iwe chanzo kikuu cha mapato lazima tutaumia zaidi. Ni wajibu wa serikali kubuni mifumo ya makusanyo nje ya kodi kwa kutengeneza sera rafiki za uwekezaji na biashara ambazo zikikua na makusanyo mbalimbali yatakua.
 
Kwani unaweza tumia WhatsApp au Facebook bila bundle? Kwenye ununuzi wa bundle si wanakata kodi yao? Shida nini kwenye medula ya hawa Jamaa?
 
Facebook, Instagram na WhatsApp huwa wanalipa kodi kwenye nchi zote ambazo zinatumika?
 
Kwani Google na Microsoft kufunguwa ofisi Nairobi unadhani ni wajinga?
Matola

Nchi nyingi masikini za Afrika zina kodi kubwa. Kwa nini? Nikuonesha kuwa zinaweza kulipa madeni ya nchi za magharibi. Madhara yake ni uchumi haukui, na kuongoza kulipa mishahara midogo, miundo mbinu ovyo, magonjwa ya mlipuko.
 
Sasa META akianza kuambiwa alipie Kodi si Ina maana na sisi tutaanza kuambiwa tulipie gharama za kutumia mtandao wao?
Zinakuwa uploaded back kurudi kwenye mtandao, in exchange nawe unakuwa unapata contents tofauti kama picha, maneno, video, matangazo n.k
 
Sasa META akianza kuambiwa alipie Kodi si Ina maana na sisi tutaanza kuambiwa tulipie gharama za kutumia mtandao wao?
kama hawawezi wana funga tu... kwani yeye anafanya charity hizo wasapu, fesibuku sijui insta?
 
hivi hizo bundles tunazonunua havilipwi kodi?
Je, hawa service providers n.k hawalipi corporate taxes?
bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee?

mitandao ya simu haikuwa inalipa kodi ktk Vocha tunazo nunua na mihamala...

na hawa wafanyabiashara wengine walipe, youtube channel tunalipa... na bando tunanua tunalipia etc...
 
Back
Top Bottom