Ila TRA shikamoo πAjikite kwenye kilimo
Hapo ndo kuna kucheka ukiwa na maumivu πAcha kabisa sio 90 kanyoosha 95 na HUJACHAGULIWA
HatariIla TRA shikamoo π
Mkuu je hili kundi unalisaidiaje kimawazo?!
Ndo maana walimu hawataki kitu inaitwa usahili hata kidogo
Watafeli mpaka wachanganyikiweNdo maana walimu hawataki kitu inaitwa usahili hata kidogo
Dah kwahio majaliwa alikua sahihi?
Ila utetezi wa hawa wenye single digits watasema kuwa HAWAKUCHAGULIWA sambamba na wale wenye double digits za 95 π
5 yani 1,2,3,4,5 na nusu
Wafungue dirisha la appeal π haiwezekani mtu umepiga A+ halafu HAUJACHAGULIWASio mchezo ni balaa hatari
Kuna mtu aliwahi kusema The World itself is not fair πHio sidhani km ipo yaan hapo ni maumivu sahizi watu wanameza panadol