Rais na msajili wa hazina ndo kawapa hicho kibali cha kuajiri wenyeweTatizo linaanzia hapohapo TRA walipojiona ni bora wakachukua nafasi ya PSRS kufanyisha usahili. Ifikie hatua kama Taifa tuwe na idara moja ya usahili ambayo ni PSRS hao wengine wote wapewe watumishi baada ya kusahiliwa na PSRS.
Mnaanza kumzingizia Rais kwa kila kitu, Kibali cha kuajiri ndicho kimetoka huko unakosema ila kibali cha kufanyisha usahili walipewa na PSRS. PSRS ipo kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2009 hivyo Rais au msajili wa Hazina hawezi kuivunja kwa kufanya anayotaka.Rais na msajili wa hazina ndo kawapa hicho kibali cha kuajiri wenyewe
Uzuri alitoa mfano wa TRA mwaka jana February 2023;Mnaanza kumzingizia Rais kwa kila kitu, Kibali cha kuajiri ndicho kimetoka huko unakosema ila kibali cha kufanyisha usahili walipewa na PSRS. PSRS ipo kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2009 hivyo Rais au msajili wa Hazina hawezi kuivunja kwa kufanya anayotaka.
Hivi ajira za mwaka 2025 iliyotolewa tangazo Mei 28, 2025 kuwa wafike kazini tarehe 2 Juni, 2025 mbona walioitwa kazini hawapo popote hadi kwenye tovuti ya taasisi?Uzuri alitoa mfano wa TRA mwaka jana February 2023;
“Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka izunguke iseme ifanye mikutano ifanye semina, hapana hatuendi hivyo”
Wahusika walipewa taarifa kwa email. Nadhani hawakutaka kuwasumbua ambao haiwahusuHivi ajira za mwaka 2025 iliyotolewa tangazo Mei 28, 2025 kuwa wafike kazini tarehe 2 Juni, 2025 mbona walioitwa kazini hawapo popote hadi kwenye tovuti ya taasisi?
Ukiona kimya ujue hamna nduguJamani humu hamna mwenye info za kuhusu mchakato wa kanzi data au ambaye ndugu yake ameitwa
Hapo sawaBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale wanasema bado.
Ahaa sawa AsanteBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale
Wameita nawajua watu wawil wamepata email, wamesema nafasi ni chache zilizopatikana, wanaita kulingana na ufahuruBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale wanasema bado.
Nadhani ni wewe tu ndo una mtu wa karibu alieitwaWameita nawajua watu wawil wamepata email, wamesema nafasi ni chache zilizopatikana, wanaita kulingana na ufahuru
Ni wengi nahisi cycle uliyo nayo ndio itakuwa hawajapataNadhani ni wewe tu ndo una mtu wa karibu alieitwati
Hawa walioitwa wameambiwa waripoti moja kwa moja kazini au wameambiwaje ?Wameita nawajua watu wawil wamepata email, wamesema nafasi ni chache zilizopatikana, wanaita kulingana na ufahuru
Hii inaonekana ni wachache walioitwa katika watu wote wa humu na nje ya jf ni only kwako nimesikia una watu unawajua wamepata.Mimi nawafahamu wengi huko hii taasisi ila so far hakuna aliyesema anamjua mtu aliyeitwa maana hata email za mwaka jana muda zilipoanza kutumwa niliambiwa from several people kuna watu wameshapata emailNi wengi nahisi cycle uliyo nayo ndio itakuwa hawajapata
Basi kama hamtaki kuamini, subirini watu wenu wa karibu, maana mmeuliza, nimejibu ninacho kijua mimi na nina uhakika nacho, so pigeni simu TRA mtapata uhakika zaidi. mnataka kujibiwa ambacho mnacho akilini mwenu tayari. Solution pigeni simuHii inaonekana ni wachache walioitwa katika watu wote wa humu na nje ya jf ni only kwako nimesikia una watu unawajua wamepata.Mimi nawafahamu wengi huko hii taasisi ila so far hakuna aliyesema anamjua mtu aliyeitwa maana hata email za mwaka jana muda zilipoanza kutumwa niliambiwa from several people kuna watu wameshapata email
Mimi nimeamini ndio maana nimesema inaonekana ni wachache walioitwa .Watu hawajakataa ulichosema tunaongelea wingi wa walioitwaBasi kama hamtaki kuamini, subirini watu wenu wa karibu, maana mmeuliza, nimejibu ninacho kijua mimi na nina uhakika nacho, so pigeni simu TRA mtapata uhakika zaidi. mnataka kujibiwa ambacho mnacho akilini mwenu tayari. Solution pigeni simu