TRA: Tunahitaji ajira zenye Uwazi kama Utumishi sio figisufigisu!

Written eneo tulilofanyia hakukua na utaratibu mzuri watu walipoteza vyeti simu zilivunjika ilikua tafrani
Mkuu sikushauri ukate tamaa,mfano kama me sijuani na yeyote na nilipata kazi katika nafasi za mwaka uliopita,na nilishafanya interview za mamlaka almost six times lakini nilikuwa najifunza na kuelewa wapi nilikuwa nakosea na nilikuwa natilia mkazo maeneo niliyokosea na kuwa bora zaidi,ni muhimu kuelewa kuwa mchujo wa hizi interview huwa na watu wengi na mchuano unakuwa ma watu makini muhimu ni kujiamini,kujiandaa vya kutosha masisitiza vya kutosha usidharau kitu na kusema nakijua ukaamua kukiacha soma upya na upya,kingine kikubwa muombe sana Mungu toa zaka na inuie kuwa ikafungue milango ya hitaji lako,...fatisha haya na utaleta ushuhuda hapa.
 
Ahsante boss. Ntafanyia kazi huu ushauri
 
Kwa nini hawa hawapitii psrs?
Kwamba wao ni special sana?
 
Back
Top Bottom