Nahisi labda wataanza mwezi wa nane mafunzo,na pia huenda bado wanaendelea kuita mwisho mwezi huu.Maana lile lililopita walitumiwa email tareh 27May na Jun2 walitakiwa kufika chuo cha kodi kuanza trainingBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale wanasema bado.