Nahisi labda wataanza mwezi wa nane mafunzo,na pia huenda bado wanaendelea kuita mwisho mwezi huu.Maana lile lililopita walitumiwa email tareh 27May na Jun2 walitakiwa kufika chuo cha kodi kuanza trainingBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale wanasema bado.
Na pia kama zoezi longish tareh 12 wangesema waliochaguliwa watatumiwa email tareh 12 na wataanza mafunzo kama ni wiki hii au August mwanzoni.Ila tusubiri wenyew watasema zoezi likiishaBado hawajaita, wakiita lazima waende kupigwa brush chuo cha kodi ITA, nina walimu pale wanasema bado.
Nina jamaa yangu alifika oral akawekwa Data base anasema hakuna email yoyote hata kwa jamaa zake.Mimi nimeamini ndio maana nimesema inaonekana ni wachache walioitwa .Watu hawajakataa ulichosema tunaongelea wingi wa walioitwa
Mimi pia nina watu wengi nimeuliza hamna inawezekana labda wanaita kidogo kidogo au wameita wachache mno maana kuna mtu kasema kuna wawili anawajua wamepata emailNina jamaa yangu alifika oral akawekwa Data base anasema hakuna email yoyote hata kwa jamaa zake.
Wakituma email ukweli utajulikana lazima zitasambaa tu.
Ingekuwa wanaajiri wachache sidhani kama wangekuja public kutoa lile tangazo.Mimi pia nina watu wengi nimeuliza hamna inawezekana labda wanaita kidogo kidogo au wameita wachache mno maana kuna mtu kasema kuna wawili anawajua wamepata email
ila wewe umenifurahisha.Basi kama hamtaki kuamini, subirini watu wenu wa karibu, maana mmeuliza, nimejibu ninacho kijua mimi na nina uhakika nacho, so pigeni simu TRA mtapata uhakika zaidi. mnataka kujibiwa ambacho mnacho akilini mwenu tayari. Solution pigeni simu
ndo tunachosema kwa mdau mweny jamaa zake walioitwa, ila katupanikia kasema tuwapigie TRANina jamaa yangu alifika oral akawekwa Data base anasema hakuna email yoyote hata kwa jamaa zake.
Wakituma email ukweli utajulikana lazima zitasambaa tu.
Tayari wameitwa leo ndo ilikuwa training yaoNaunga mkono hoja
watu 243 ni wengi sanaHii hapa
Kwa hiyo hapo screenshot ndo mana ake watu washaitwa na training tayari? Tuendelee kuwaza mengine amaSawa ndicho tulichotaka kusikia
Unahisi ni uongo? Hawajaita watu wote hao?watu 243 ni wengi sana
nani kasema ni uongo?Unahisi ni uongo? Hawajaita watu wote hao?
Sijakuelewa ulivosema hao 200 ni wengi sana. Yani ndo mchakato wa data base umeisha ama. Nachoka kuwazanani kasema ni uongo?