TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

Epuka matapeli, kodi zote za TRA hupitishwa na BUNGE LA BAJETI na huanza kutumika tar 1/7 ya kila mwaka.
Kabla ya kupost vitu tumieni akili na kichwa kufikiri, sio mnatumia matako yenu kuanzishia mada.
 
Awamu ya jiwe Kodi za kuagiza magar ziliongezwa kimya kimya Mara kibao bila idhini ya bunge na bunge letu liliuftata mkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Galama, nzee ni vitu gani mkuu. Umekua msemaji wa TRA sasa au sio
 
Watu wanalalamikia unreasonable taxes. Miaka kupanda sio shida. Sasa ili kila mtu aagize gari ya 2021/22 tupeane shift za uwaziri. Angalau kila mwananchi aonje miezi mitatu ya marupurupu ya vyeo na sisi tuweze ku mudu hizo kodi bila kuja kulalama jf.
 
Epuka matapeli, kodi zote za TRA hupitishwa na BUNGE LA BAJETI na huanza kutumika tar 1/7 ya kila mwaka.
Kabla ya kupost vitu tumieni akili na kichwa kufikiri, sio mnatumia matako yenu kuanzishia mada.
kodi imepanda kweli bus saivi linatolewa kwa mil 150 na wakati ilikuwa mil 90 hadi 110
 
Epuka matapeli, kodi zote za TRA hupitishwa na BUNGE LA BAJETI na huanza kutumika tar 1/7 ya kila mwaka.
Kabla ya kupost vitu tumieni akili na kichwa kufikiri, sio mnatumia matako yenu kuanzishia mada.
Unamtukana Msela bure, Mara kibao tu ilikua ikifika mwezi wa Feb Kodi za magari kwny kikokoto Cha magari Cha TRA kinapanda.
 
Ulipata muda lakini wa kulichunguza hili kabla ya kumtukana?
 
Automatic kutoka Mungu?
 
Nimeona pia kuna ongezeko kubwa sana la watu kununua magari ya mikononi kuliko kuagizia nje ya nchi,kodi sio rafiki kabisa......
 
Range Rover SUV Autobiography ya 2015
CIF dar es salaam milion 60
Ushuru + registration milion 120 do you think is fair ..??
 
SAsa kwann watoze kodi kubwa gari nzee
 
Unamtukana Msela bure, Mara kibao tu ilikua ikifika mwezi wa Feb Kodi za magari kwny kikokoto Cha magari Cha TRA kinapanda.
Mzee hawajapandisha, sema mfumo unareact wenyewe kutokana na umri wa Gari. Mwaka unapoongezeka na uchakavu huongezeka, na sio kwamba Wanapandisha bei mkuu. Wewe fanya hivi kama ulitaka kuagiza gari ya mwaka 2015 basi sasa agiza la mwaka 2016 utaona bei ni ileile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…