Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo hivi Duniani kote kuna courses Mtu anaetaka kuwa Real Estate agent/broker anaenda Darasani anasoma 3-12 months baada ya hapo anakata Leseni ya kuwa Real Estate agent.Hapa pia atakata Leseni ya Biashara na TIN. wenye nyumba /vyumba vya kupangisha wanawa contact na kuwapa kazi ya kutangaza uwepo nyumba za kupanga na kiasi cha kodi kwa mwezi .Real estate agent yeye anatop up few %.mpangaji anapewa acc ya Bank analipia Bank-Mfano South Africa Real Estate Agents Account zao Mpngaji akilipa kuna settings bank wameweka zinaenda moja kwa moja kwa mwenye Nyumba na agent inabaki comission yake.So kama agent amepangisha wateja mia au zaidi anauwezo wa kupata mpaka 10M za kitanzania kwa mwezi. Hii ni nzuri kwani kila mwezi agent anapata hela kiasi na ni endelevu .Hapa Tz kodi ya mwezi ata kama dalali anafaidika lakini ni kidogo sana pia sustainability aipo na wengi wanaishi maisha ya kubahatisha bahatisha.Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali.
Hivyo, nakubaliana na Lukuvi wenye nyumba wawalipe madalali na jambo hili litungiwe sheria na sheria itoe adhabu ya kifungo au faini au vyote kwa pamoja kwa atakaekaidi.
Sambamba na hilo, TRA waanzishe kitengo cha upangishaji nyumba ambapo wenye nyumba watatakiwa kutoa taarifa TRA wanapotaka kupangisha, kisha jukumu la kutafuta wapangaji liwe la TRA, ila mwenye nyumba aruhusiwe kuweka mpangaji bila kupitia TRA mradi tu alipe kodi.
Utaratibu huu ukiwekwa kisheria, sio tu utaondoa unyonyaji wa madalali, bali uta-facilitate ukusanyaji wa kodi kupitia nyumba za kupangisha na ambao teyari upo kwa mujibu sheria.
Mwanachi yoyote anaetaka nyumba ya kupangisha, atakiwe(kwa mujibu wa sheria) kufika katika ofisi za TRA, na kisha TRA kupitia kitengo husika, watakuwa na jukumu la kuwapangisha wananchi na hapo hapo kukusanya kodi ya serikali.
Tena TRA wanaweza kufanya kazi hii katika mazingira bora zaidi kwa kuwapeleka wateja kwa kutumia magari yao, pikipiki au bajaji maalumu ziitazonunuliwa kwa kutumika fedha zitazokusanywa kupitia upangishaji wa aina hii.
Hakuna kinachoshindikana kama dhamira ipo. Kama kupata baadhi ya huduma tunalazjmika kwanza kupitia TRA, kwani hili la kupangisha kupitia TRA lishindikane?
Haingiii akilini hata kidogo kwa mtumishi wa serikali mwenye mshahara wa shilingi 300,000 kwa mwezi, alipe kodi(PAYE), halafu dalali au mwenye nyumba anaeingiza malaki au mamilion kadhaa anapopangisha, asilipe kodi(huu ni uwendawazimu kabisa).
Mleta mada hajielewi huwezi kabidhi Mali yako ya Mamilioni kwa mtu usiyemjua mfano huwezi mkabidhi bodaboda ,au bajaji,au daladala au nyumba mtu usiyemjua Akiuza au kutoroka au afanye tukio baya utampata wapi?Udalali uko kila mahali
Udalali haukwepi
Ova
Kwani mpangaji/anayetaka nyumba si anapatikana kwa juhudi za madalaliNi manufaa yako mpangaji sio mwenye nyumba dalali Ni wakili wa mpangaji kumbuka hata tatizo likitokea mfano umepangisha jambazi mwenye nyumba mtu wa kwanza kudakwa Ni dalali aliyekupeleka sio mwenye nyumba
Dalali ndie hubeba Zigo la kuwa anakujua vizuri.Risk zote huangukia kwake.
Wewe ndie unayemtuma Kama wakili wako . Kumlipa kazi yake ya uwakili Ni yako
Wenzetu wanafanya kiprofesional sio kama huku kwetu Boss Mrangi.Na pia iwapo Serikali ikairasimisha hii professional itawasaidia ata hao madalali wenyewe.So wakati umefika hii sekta kuboreshwa na kuifanya iwe fani inayotambulikaUdalali uko kila mahali
Udalali haukwepi
Ova
Ndo maana Serikali inatakiwa kuja na mkakati wa kurasimisha hii kada iwe kama ya wanasheria,wahasibu etc .Ukikiuka miiko ya kazi unafungiwaMleta mada hajielewi huwezi kabidhi Mali yako ya Mamilioni kwa mtu usiyemjua mfano huwezi mkabidhi bodaboda ,au bajaji,au daladala au nyumba mtu usiyemjua Akiuza au kutoroka au afanye tukio baya utampata wapi?
Ndio maana wamiliki wengi material wa properties ikiwemo nyumba za kupanga hutaka mtu apitie kwa madalali
Dalali akisema ok owner anakubali deal
Fikiria unamiliki bodaboda , bajaji au daladala au nyumba mtu anakuja humjui ohhh nipe !!!! Una akili kumpa? Kunatakiwa third party refference ambaye Ni dalali
Wanaokataa dalali asiwepo Ni majambazi
Madalali sio majambazi wao ndio majambazi
Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali.
Hivyo, nakubaliana na Lukuvi wenye nyumba wawalipe madalali na jambo hili litungiwe sheria na sheria itoe adhabu ya kifungo au faini au vyote kwa pamoja kwa atakaekaidi.
Sambamba na hilo, TRA waanzishe kitengo cha upangishaji nyumba ambapo wenye nyumba watatakiwa kutoa taarifa TRA wanapotaka kupangisha, kisha jukumu la kutafuta wapangaji liwe la TRA, ila mwenye nyumba aruhusiwe kuweka mpangaji bila kupitia TRA mradi tu alipe kodi.
Utaratibu huu ukiwekwa kisheria, sio tu utaondoa unyonyaji wa madalali, bali uta-facilitate ukusanyaji wa kodi kupitia nyumba za kupangisha na ambao teyari upo kwa mujibu sheria.
Mwanachi yoyote anaetaka nyumba ya kupangisha, atakiwe(kwa mujibu wa sheria) kufika katika ofisi za TRA, na kisha TRA kupitia kitengo husika, watakuwa na jukumu la kuwapangisha wananchi na hapo hapo kukusanya kodi ya serikali.
Tena TRA wanaweza kufanya kazi hii katika mazingira bora zaidi kwa kuwapeleka wateja kwa kutumia magari yao, pikipiki au bajaji maalumu ziitazonunuliwa kwa kutumika fedha zitazokusanywa kupitia upangishaji wa aina hii.
Hakuna kinachoshindikana kama dhamira ipo. Kama kupata baadhi ya huduma tunalazjmika kwanza kupitia TRA, kwani hili la kupangisha kupitia TRA lishindikane?
Haingiii akilini hata kidogo kwa mtumishi wa serikali mwenye mshahara wa shilingi 300,000 kwa mwezi, alipe kodi(PAYE), halafu dalali au mwenye nyumba anaeingiza malaki au mamilion kadhaa anapopangisha, asilipe kodi(huu ni uwendawazimu kabisa).
Kama unamuweka dalali kulinda masilahi yako, kwaninii mizigo wa kumlipa huyo dalali abebe mpangaji? Akili ya wapi hii?!Mleta mada hajielewi huwezi kabidhi Mali yako ya Mamilioni kwa mtu usiyemjua mfano huwezi mkabidhi bodaboda ,au bajaji,au daladala au nyumba mtu usiyemjua Akiuza au kutoroka au afanye tukio baya utampata wapi?
Ndio maana wamiliki wengi material wa properties ikiwemo nyumba za kupanga hutaka mtu apitie kwa madalali
Dalali akisema ok owner anakubali deal
Fikiria unamiliki bodaboda , bajaji au daladala au nyumba mtu anakuja humjui ohhh nipe !!!! Una akili kumpa? Kunatakiwa third party refference ambaye Ni dalali
Wanaokataa dalali asiwepo Ni majambazi
Madalali sio majambazi wao ndio majambazi
Sawa mradi tu na wao walipe kodi.Kwangu binafsi kuwakutanisha wenye nyumba na TRA sijaona kama imekaa sawa.
Nadhani, hii ni fursa kwa watu waliosoma IT,
FURSA KIAJE?
Dalali ni nani: Ni mtu kati, anayekutanisha wajitaji pande mbili tofauti.
Patengenezwe app maalumu, au website ambapo itawakutanisha wenye nyumba na wapangaji. Ifanyike marketing ya kutosha kutangaza hiyo app/website ambapo kila anayejisahili kutaka kupanga/kupangisha anafanya malipo (say 5000) (hii ni registration fee anayopata mwenye hiyo platform).
Mwenye nyumba awe na acess ya kujaza information kama sehemu nyumba ilipo, size, vyumba vingapi, nk hadi picha aweke na bei
Mpangaji anayehitaji anaingia na kujichagulia nyumba sehemu anayohitaji, anakutana na mwenye nyumba moja kwa moja
Vivyo hivyo, kwenye transportation services..hasa kwenye magari ya mizigo, ifanyike hivi hivi kati ya transporters na wanaosafirisha vitu vyao
Mnishukuru kwa idea nzuri
HATA HAPA JAMIIFORUM, [mention]Maxence Melo [/mention] anaweza tumia hii fursa pia
Sio maslahi yangu nataka third party refference .Huwezi kuja to nyumbani kwangu sikujui wewe gaidi au jambazi ohh Mimi nataka kupanga kwako pesa hii hapa.Kama unamuweka dalali kulinda masilahi yako, kwaninii mizigo wa kumlipa huyo dalali abebe mpangaji? Akili ya wapi hii?!
Kweli kabisaMleta mada hajielewi huwezi kabidhi Mali yako ya Mamilioni kwa mtu usiyemjua mfano huwezi mkabidhi bodaboda ,au bajaji,au daladala au nyumba mtu usiyemjua Akiuza au kutoroka au afanye tukio baya utampata wapi?
Ndio maana wamiliki wengi material wa properties ikiwemo nyumba za kupanga hutaka mtu apitie kwa madalali
Dalali akisema ok owner anakubali deal
Fikiria unamiliki bodaboda , bajaji au daladala au nyumba mtu anakuja humjui ohhh nipe !!!! Una akili kumpa? Kunatakiwa third party refference ambaye Ni dalali
Wanaokataa dalali asiwepo Ni majambazi
Madalali sio majambazi wao ndio majambazi
Hata kwenye madini kuna mabrokersUdadali dunia nzima upo, ila kinachotakiwa ni kuutambua kisheria ili hawa jamaa walipe kodi.
Udalali ni kazi ya information flow, anayetaka nyumba hamjui mwemye nyumba kwa sababu hatuna mfumo wa kuwakutanisha hawa wawili sasa hapa ndipo Dalali anapoingia.
Udalali si kwenye nyumba tu ni katika kila secta wapo.
Hata dalali professional atataka hela ya mwezi mmoja mkuuWenzetu wanafanya kiprofesional sio kama huku kwetu Boss Mrangi.Na pia iwapo Serikali ikairasimisha hii professional itawasaidia ata hao madalali wenyewe.So wakati umefika hii sekta kuboreshwa na kuifanya iwe fani inayotambulika
Mimi ni miongoni mwa watu naopinga sana madalali kutaka kulipwa kodi ya mwezi mmoja kwani ni kuumiza wapangaji kwa kuwaongezea gharama za maisha. Kibaya zaidi, wako wenye nyumba hawapangishi mtu bila kupitia madalali wao hata kama inawezekana kupanga bila kupitia hao madalali.
Hivyo, nakubaliana na Lukuvi wenye nyumba wawalipe madalali na jambo hili litungiwe sheria na sheria itoe adhabu ya kifungo au faini au vyote kwa pamoja kwa atakaekaidi.
Sambamba na hilo, TRA waanzishe kitengo cha upangishaji nyumba ambapo wenye nyumba watatakiwa kutoa taarifa TRA wanapotaka kupangisha, kisha jukumu la kutafuta wapangaji liwe la TRA, ila mwenye nyumba aruhusiwe kuweka mpangaji bila kupitia TRA mradi tu alipe kodi.
Utaratibu huu ukiwekwa kisheria, sio tu utaondoa unyonyaji wa madalali, bali uta-facilitate ukusanyaji wa kodi kupitia nyumba za kupangisha na ambao teyari upo kwa mujibu sheria.
Mwanachi yoyote anaetaka nyumba ya kupangisha, atakiwe(kwa mujibu wa sheria) kufika katika ofisi za TRA, na kisha TRA kupitia kitengo husika, watakuwa na jukumu la kuwapangisha wananchi na hapo hapo kukusanya kodi ya serikali.
Tena TRA wanaweza kufanya kazi hii katika mazingira bora zaidi kwa kuwapeleka wateja kwa kutumia magari yao, pikipiki au bajaji maalumu ziitazonunuliwa kwa kutumika fedha zitazokusanywa kupitia upangishaji wa aina hii.
Hakuna kinachoshindikana kama dhamira ipo. Kama kupata baadhi ya huduma tunalazjmika kwanza kupitia TRA, kwani hili la kupangisha kupitia TRA lishindikane?
Haingiii akilini hata kidogo kwa mtumishi wa serikali mwenye mshahara wa shilingi 300,000 kwa mwezi, alipe kodi(PAYE), halafu dalali au mwenye nyumba anaeingiza malaki au mamilion kadhaa anapopangisha, asilipe kodi(huu ni uwendawazimu kabisa).
Sasa si ndio umlipe wewe mwenye nyumba?Sio maslahi yangu nataka third party refference .Huwezi kuja to nyumbani kwangu sikujui wewe gaidi au jambazi ohh Mimi nataka kupanga kwako pesa hii hapa.
Refference wako Nani? Third party Mimi ambaye namjua? Anayeweza take risk Kama wewe gaidi au jambazi mnayejuana naye na Mimi namjua?
Hivi kwa akili yako unadhani mtu aweza kukupangisha nyumba ya apartment mfano Ina asset za ndani za milioni Mia kwa mtu ambaye hamjui na Hana refference reliable wa kumleta kwako? Sio unayemjua mwenye nyumba tu Bali na yeye dalali anamjua
Mimi nyumba zangu sikubali kumpangisha mtu nisiyemjua hata uje na midola sikupangishi dalali ninayemjua ndio akulete malipo ya udalali mtamalizana huko huko hainihusu
Gharama za umiliki wa jengoKustaafu isiwe sababu ya kutolipa kodi na kutafuta huruma ili hali unaingiza kipato tena sometimes kikubwa kuliko cha wale walioko makazini.
Kumbukeni misaada mnayopewa na wazungu ni kodi za watu wakiwemo wastaafu.
Tena ukiona mtu kajenga na kumaliza ni wakuheshim saana. Kama kipindi hiki vifaaa vya ujenzi hasa usafi havikamatiki. Ujenzi wa sikuizi nimateso jamaaniiiKabisa mkuu,
Na Ndo maana mwenye nyumba anaheshimika sana.
Ujenzi unaumiza.
hapana -Duniani kote hata Kenya hakuna kodi ya mwezi ! why kuna commission agents?? madalali wa magari wanaishije??? wanapata nn?? wakiuza gari??- ukweli tumekosea sana kwenye hili kama taifa na kweli kuna haja ya kubadilikaHata dalali professional atataka hela ya mwezi mmoja mkuu
Si kampata mteja
Hapa issue ni upatikanaji wa mteja
Ova